muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,539
- 3,551
Thanks mkuu, nitacheki nipate.Kama una Facebook search group linaitwa “Hot Bikes in Tanzania” me nilipata pale CBR Honda yangu.
Poa poa mkuu japo upo juu sana.Ikiwa utapanda hadi saba au sita na nusu niambie tufanye biashara, cc 250
Mkuu, hivi vyuma vinahitaji budget iliyoshiba [emoji4][emoji4]
Picha mkuu250 red engine 5m Arusha
Chukua new models zake zinaitwa CBR kuna ya 250cc na ya 450ccNahitaji pikipiki aina ya Honda XL/R au yoyote imara walau yenye CC 250.
Sipendi pikipiki ambazo zipo kama za mashidano (kifua kinakaa kwenye tank).
Kumvua mtu poa ila engine isiwe imeguswa hata kidogo na mafundi. Budget 4 Mil.
Mkuu, CBR naona kama zimekaa ki sports zaidi, au kwa adventure zipo vizuri tu?Chukua new models zake zinaitwa CBR kuna ya 250cc na ya 450cc