Wapi Wanakouza Pikipiki aina ya Honda XL 250 au zaidi?

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
3,539
Reaction score
3,551
Nahitaji pikipiki aina ya Honda XL/R au yoyote imara walau yenye CC 250.

Sipendi pikipiki ambazo zipo kama za mashidano (kifua kinakaa kwenye tank).

Kumvua mtu poa ila engine isiwe imeguswa hata kidogo na mafundi. Budget 4 Mil.
 
Wazee, naona mpo kimya sana. Ninasubiria michango yenu
 
Nahitaji pikipiki aina ya Honda XL/R au yoyote imara walau yenye CC 250.

Sipendi pikipiki ambazo zipo kama za mashidano (kifua kinakaa kwenye tank).

Kumvua mtu poa ila engine isiwe imeguswa hata kidogo na mafundi. Budget 4 Mil.
Chukua new models zake zinaitwa CBR kuna ya 250cc na ya 450cc
 
Mkuu, CBR naona kama zimekaa ki sports zaidi, au kwa adventure zipo vizuri tu?

Mimi nahitaji ambayo ni ya masafa marefu/adventures bila kuumiza kiurahisi mgongo ( ergonomics).
 
Back
Top Bottom