Wapi wanalima vilelemutuz kwa dar (bamia) kwa wingi?

Wapi wanalima vilelemutuz kwa dar (bamia) kwa wingi?

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Wakuu Haya mazao kwa dar hapa yanalimwa wapi?
 
Dar hakuna shamba mkuu, ni vibustani tu, mimi binafsi ninaotesha bamia, ila ni kwenye kibustani tu na siwezi ita shamba,
 
Jamani hebu tumwache lemtuz apumzike/apumue hakupenda kuwa na kibamia na kumbukeni kuwa aliyekupa wewe ndiye aliyemnyima yeye
 
Hahahah njoo Moro kuna Mabamia dar 90% ya wanaume wana vilemutuz
 
Back
Top Bottom