Gilbert Clavery
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 438
- 361
Saga mkaa then sukutua alafu utanipa mlejeshonaomba msaada meno yangu hata nisugue vipi hayatakati yanakuwa ya njano njano nimetumia kila njia imeshindikana kwa anayejua dawa ya kuyafanya kung'aa anisaidie nitumie dawa gani[emoji122]
Waulize Wachaga.Siku hizi kumekuwa na kawaida ya kungarisha meno yaliyoungua yanakuwa meupeee ..jamani ni wapi wanatoa hizo huduma na gharama zake plzzz kwa anaejua
Kwa Arusha nenda SDA njiro kule.naomba msaada meno yangu hata nisugue vipi hayatakati yanakuwa ya njano njano nimetumia kila njia imeshindikana kwa anayejua dawa ya kuyafanya kung'aa anisaidie nitumie dawa gani[emoji122]
Cjanganya simba mbili ile baking soda yenye rangi nyekundu na bluu na limao sugulia.meno..week tu utaona tofauti week 2 ndo kbs utafurahi mwenywenaomba msaada meno yangu hata nisugue vipi hayatakati yanakuwa ya njano njano nimetumia kila njia imeshindikana kwa anayejua dawa ya kuyafanya kung'aa anisaidie nitumie dawa gani[emoji122]
hiyohiyoHii ya unga ya kupikia maandazi na keki?