Wapi wanang'arisha meno yaliyoungua?

Wapi wanang'arisha meno yaliyoungua?

Siku hizi kumekuwa na kawaida ya kungarisha meno yaliyoungua yanakuwa meupeee ..jamani ni wapi wanatoa hizo huduma na gharama zake plzzz kwa anaejua
Waulize Wachaga.
 
naomba msaada meno yangu hata nisugue vipi hayatakati yanakuwa ya njano njano nimetumia kila njia imeshindikana kwa anayejua dawa ya kuyafanya kung'aa anisaidie nitumie dawa gani[emoji122]
Kwa Arusha nenda SDA njiro kule.
 
Hapa tz yapo maeneo mengi ila bei ni kubwa mno na muda sio mrefu sana miezi 3
Kuna jamaa tuliwapeleka Nairobi wamepewa guarantee miaka 5
 
Tumeno twangu twa njano.tule twa kiarusha ila sion haja ya kutung'arisha mana hatunipi shida
 
naomba msaada meno yangu hata nisugue vipi hayatakati yanakuwa ya njano njano nimetumia kila njia imeshindikana kwa anayejua dawa ya kuyafanya kung'aa anisaidie nitumie dawa gani[emoji122]
Cjanganya simba mbili ile baking soda yenye rangi nyekundu na bluu na limao sugulia.meno..week tu utaona tofauti week 2 ndo kbs utafurahi mwenywe
 
Back
Top Bottom