Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sante ntajarbu[emoji122]Nasikia tumia baking soda inang'arisha sana meno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakua mshabiki WA yanga wewe
Hata yale meno ya Arusha?Nasikia tumia baking soda inang'arisha sana meno
Baking soda na limao kwa wiki mara mbili
Hata wale wenye utando wa Njano unaosababishwa na maji ya Chumvi,nao wakitumia hiyo Baking soda yatang'aa?Chukua baking soda kijiko kimoja weka kwenye kikombe, kamulia limao nusu, koroga.
Tumia mchanganyiko huo kusugulia meno yako kwa kutumia mswaki.
Sukutua vizuri kwa maji ya vuguvugu.
Tumia mchanganyiko huo kusugua meno yako mara moja kwa wiki. siku zilizobaki tumia dawa za meno za kawaida.