Naona ugonjwa wako haujachacha wala usingetafuta hiyo hospitali ya bei nafuu.Habari wanajamvi,
Nilipatwa na maumivu ya tumbo na wiki iliyopita nilienda moja ya hospitali zilizopo hapa Dar. Baada ya vipimo nikagundulika nina appendicitis.
Baada ya kugundulika, daktari akapendekeza upasuaji ila bei zao ndizo zikanishinda. Nilitakiwa kutoa Shilingi milioni 1 ili kukamilisha operation hiyo.
Na kwa mfuko wangu hiyo pesa ni kubwa hapa nina kiasi cha Shilingi 400,000 tu. Naomba anayejua hospitali Inayoweza kunisaidia kwa kiasi hicho na huduma zao zikawa bora.
Ahsante
Appendicitis ikikaza hutafikiria gharama-unakua kama unachungulia upande wa pili ambae hakuna anaefahamu kukoje huko. Aiwahi kabla haija chacha.Naona ugonjwa wako haujachacha wala usingetafuta hiyo hospitali ya bei nafuu.
Uko wapi?
Nenda kwenye hospitali za Mkoa kwa mfano Mwananyamala, Amana au Temeke utafanyiwa kwa kiasi hicho au chini yake.
Vinginevyo Tandika kuna hospitali inayofanya upasuaji, jina limenitoka.
1M duuu, nenda hospitali za serikali mkuu usisikie maneno ya watu kuwa serikalini huduma mbovu, kama unaogopa madaktari wapiga dili wa Dar, nenda hospitali za serikari za mikoani/hospitali nyingi za wilaya wanafanya huo upasuajiHabari wanajamvi,