pharao
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 397
- 690
Habari wanajamvi,
Nilipatwa na maumivu ya tumbo na wiki iliyopita nilienda moja ya hospitali zilizopo hapa Dar. Baada ya vipimo nikagundulika nina appendicitis.
Baada ya kugundulika, daktari akapendekeza upasuaji ila bei zao ndizo zikanishinda. Nilitakiwa kutoa Shilingi milioni 1 ili kukamilisha operation hiyo.
Na kwa mfuko wangu hiyo pesa ni kubwa hapa nina kiasi cha Shilingi 400,000 tu. Naomba anayejua hospitali Inayoweza kunisaidia kwa kiasi hicho na huduma zao zikawa bora.
Ahsante