Jamsojamaal
Member
- Jul 13, 2022
- 23
- 6
Hujasema uko mkoa gani.Wadau naomba kuuliza mwenye kujua mahali au kampuni inayo tengeneza chupa za maji disposable za lita 18 na lita 13
Mku hbr.Wadau naomba kuuliza mwenye kujua mahali au kampuni inayo tengeneza chupa za maji disposable za lita 18 na lita 13
Sawa mkuu ngoja niwachekiMku nenda Simba Plastic au Jambo Plastic kwani utapata hii huduma
FANYA UJE DAR ITAKUWA RAHISIMi nipo Tanga ila nataka kujua wapi wanatangeneza hata kama ni dar nipate details tu wapi wanatengeneza ama kuuza mkuu
Sawa mkuu ngoja niwacheki
Sawa mkuu nimejaribu kucheki naona wanatengeneza matanki makubwa na nilikuwa nataka chupa kama zile za kilimanjaro za lita 18Nenda nilikokuelekeza utapata.
Vipi swala langu la kumpata wa kunidizaini chupa