Wapi wanatengeneza Chupa za maji?

Wapi wanatengeneza Chupa za maji?

Jamsojamaal

Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
23
Reaction score
6
Wadau naomba kuuliza mwenye kujua mahali au kampuni inayo tengeneza chupa za maji disposable za lita 18 na lita 13
 
Wadau naomba kuuliza mwenye kujua mahali au kampuni inayo tengeneza chupa za maji disposable za lita 18 na lita 13
Hujasema uko mkoa gani.
Kama uko Dar Nenda chan'gombe kuna viwanda kama Simba Plastics,Cello ndio kazi zao hizo.
Au hata kama mtashindwana watakuelekeza sehemu nyingine sahihi maana hujasema unahitaji chupa ngapi
 
Mi nipo Tanga ila nataka kujua wapi wanatangeneza hata kama ni dar nipate details tu wapi wanatengeneza ama kuuza mkuu
Mku nenda Simba Plastic au Jambo Plastic kwani utapata hii huduma
Sawa mkuu ngoja niwacheki
 
Habiri...
Mimi ni wakala wa Chupa za plastic kwa matumizi ya maji,vileo,juice nk. Kwa anae hitaji anitafute whtspp +256756191650
 
Back
Top Bottom