Wapi wanatoa mikopo yenye riba nafuu kwa wajasiriamali wadogo?

Munirah seiph

Senior Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
108
Reaction score
107
Habari zenu watu wa Jamii Forums, Naomba kufahamu Wapi huwa wanatoa mikopo yenye riba nafuu kwa wajasiriamali wadogo au wale ambao hawana vielelezo vya biashara kama vile TIN na LESENI.

Naamanisha wafanyabiashara wenye Maeneo ya biashara lakini hayajasajiliwa huenda kwa uchache wa mtaji anayefahamu mahali ambapo watu wa aina hii wanaweza kupata mikopo ya kukuza biashara zao watujuze.

Nafatilia comment
 
Nenda Halmashauri iliyopo karibu nawe Ila kumbuka connection matters

Km hauna connection nikupe pole in advance maana kupata ni ngumu Ila ukiwa na connection kupata mkopo ni kugusa tu hata huku Jf usingefika
 
TIN ya biashara sio bure unalipia mpendwa kuna malipo unafanya na baada ya hapo Unalipia TRA kila baada ya mda flan TIN ya kawaida ndo bure
Sasa Mimi nimesema TIN km TIN hawa wa TRA wametandaza mabango wanasema TIN ni Bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…