Wapi wanatoa Photocopy kwa bei rahisi (Tsh. 30 to Tsh. 25 Dar es Salaam)?

Wapi wanatoa Photocopy kwa bei rahisi (Tsh. 30 to Tsh. 25 Dar es Salaam)?

Regent

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2020
Posts
2,306
Reaction score
3,569
Nauliza wapi wanapotoa Copy kwa bei rahisi DSM Tshs 30 mpaka 25.

Nasikia maeneo ya karibu na taasisi za kielimu i don't have ideas anapajua anipe Address.
 
Maeneo ya Chuo nadhani ni 50tshs

Ila waweza kuchek Kariakoo Kule club ya yanga
 
Maeneo ya Chuo nadhani ni 50tshs

Ila waweza kuchek Kariakoo Kule club ya yanga
Aah bei nzuri ikiwa chini zaidi kama 30 Tzs nzuri zaidi.

Binding beirahisi chini ya 500 Tzs unapajua if umempa kazi nyingi za Ku Bind
 
Mwanzo Copy nitahitaji kama karatasi 500 mpaka 1000 roughly ikiwa mambo yameenda vizuri itakuwa kazi za kilamala.

Kwasasa bado
Ofa ya Tsh 30 kwa page imekataliwa, Tsh 50 kwa page tufanye biashara.
 
Kumbe umepelekwa jukwaa la matangazo...ingekuwa kule ningepata 20 alternate answers until Now.

Mods is it Tangazo.
 
Naogopa kusema karibu vyuo vyote vikubwa copy ni 25-50

Kuprint 100
 
Nauliza wapi wanapotoa Copy kwa bei rahisi DSM... Shs 30 mpaka 25.

Nasikia maeneo ya karibu na taasisi za kielimu i don't have ideas anapajua anipe Address.

Nenda mabibo hostel, pale kuna stationary kibao copy utapata kwa hiyo bei unayotaka!
 
njoo pm nkupe namba uwasiliane na mtu bei copy 25 tshs mpaka 20tshs kulingana na idadi ya pages
 
Back
Top Bottom