Naomba msaada nataka kusoma postgraduate ya sheria ni chuo gani kinatoa kwa hapa Tanzania? na vigezo vinavyohitajika ili kujiunga Mwenye kujua anijuze.
siyo lazima kubadilisha ila nataka kuwa na utaalamu wa sheria inaweza kunisaidia kufanya mambo yangu bila tatizo Mwenye kujua hivyo vyuo aniandikie naomba sana