Wapi wanatoa postgraduate ya sheria hapa Tanzania?

Wapi wanatoa postgraduate ya sheria hapa Tanzania?

ng'home

Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
97
Reaction score
12
Naomba msaada nataka kusoma postgraduate ya sheria ni chuo gani kinatoa kwa hapa Tanzania? na vigezo vinavyohitajika ili kujiunga Mwenye kujua anijuze.
 
kwema mr.... vyuo vipo ila ujabainisha ni vp... unawaza kuhama kada, kubadili profession.. ni PM
 
siyo lazima kubadilisha ila nataka kuwa na utaalamu wa sheria inaweza kunisaidia kufanya mambo yangu bila tatizo Mwenye kujua hivyo vyuo aniandikie naomba sana
 
Back
Top Bottom