hizoView attachment 2893955Jamani hizo aina nzuri za power bank mnazozisema basi muambatanishe za picha zake ili tukienda dukani tukomae na hzohizo
Binafsi niko Mashambani Huku na umeme ni shida sana,, mwezi uliopita nilinunua power bank ya Samsung Mah 20800 Ila Cha kushangaza haijazi hata Simu Ndogo[emoji26][emoji26][emoji26]
Oraimo Tz wana page yao Insta, huwa wanapost range ya powerbanks walizonazo. Me nmenunua juzi ya traveller 4 pro, yenye 20000mAh kwa 95,000. Inasupport fast charging ya 20WOraimo nzuri ina capacity gani na ina range kati ya bei ipi?
Ushauri tu, picha haisaidii kujua kitu OG, ni rahisi mchina kufyatua feki na kuiga muonekano.Jamani hizo aina nzuri za power bank mnazozisema basi muambatanishe za picha zake ili tukienda dukani tukomae na hzohizo
Binafsi niko Mashambani Huku na umeme ni shida sana,, mwezi uliopita nilinunua power bank ya Samsung Mah 20800 Ila Cha kushangaza haijazi hata Simu Ndogo😥😥😥
Nna simu hapa ya sharp aquos, nkishinda nayo siku nzima kwa kuchat na kuperuzi, ikiwa full 100, nkirud hom ina 60%, haijawahi kuwa below 60%. Kutazama nimeona kumbe ni mjapan.China sababu ya Bei, ila Japan hana mpinzani tech ya battery.
Tatzo mpaka kuagiza bongo hazipogoXiaomi power bank ni best sana
Zipo mkuu,
Hizi ni power station, zipo nyingi sana nje na nyengine bei reasonable sema kusafirisha battery ni issue sana,Tujuzeni portable powerbank za laptop zenye plug
Unaipiga kwa meli tu kaka unakua umeuaHizi ni power station, zipo nyingi sana nje na nyengine bei reasonable sema kusafirisha battery ni issue sana,
View attachment 2908991
Za 300Wh kuanzia 300,000+ unapata zikiwa huko nje, za Kichina unapata chini ya hapo
Kwa china sawa, ILa Usa Silent ocean wana charge $11 kwa kilo, so andaa kama dola 100 na upuuzi kusafirisha tu. Mfano powerstation ya Anker ina kilo 20.Unaipiga kwa meli tu kaka unakua umeua
Yes bro hio uchina unaipakia kwa meli tu ,hivo hio watt 300 ufanisi wake ukoje kimatumiz ya kawaida ya kila sikuKwa china sawa, ILa Usa Silent ocean wana charge $11 kwa kilo, so andaa kama dola 100 na upuuzi kusafirisha tu. Mfano powerstation ya Anker ina kilo 20
Sasa si bora kwa hio bei ununue bongo tuKwa china sawa, ILa Usa Silent ocean wana charge $11 kwa kilo, so andaa kama dola 100 na upuuzi kusafirisha tu. Mfano powerstation ya Anker ina kilo 20.
shida ni kupata Oraimo originalWewe ukowapi boss kanunue power bank aina ya Oraimo ni og na imara
Alafu oraimo sio inshu sana nunua powerbank ya xiaomi au anker ni nzur zaidi na zaidishida ni kupata Oraimo original
Hachana na hizo power bank, si salama.Kutokana na umeme kutokuwa wa uhakika ni vyema kuangalia plan B.
Ni wapi wanauza power bank za uhakika zisizo feki zenye guarantee?
Wadau wenye kujua tujulishane.
Tanzania zinapatikana au mpaka kuagiza?Alafu oraimo sio inshu sana nunua powerbank ya xiaomi au anker ni nzur zaidi na zaidi
Zipo nyingi watts 300 kwa saa ndio ndogo ila zinaenda mpaka watts 1000 na zaidi.Yes bro hio uchina unaipakia kwa meli tu ,hivo hio watt 300 ufanisi wake ukoje kimatumiz ya kawaida ya kila siku
Bongo sijaziona kwa bei reasonable,Sasa si bora kwa hio bei ununue bongo tu