Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Nimekupata kwa uzur kabisa kiongoziBongo sijaziona kwa bei reasonable,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupata kwa uzur kabisa kiongoziBongo sijaziona kwa bei reasonable,
Hawa jamaa wana powerbank nzuri sana nnayo moja ya 25W ya Samsung one year nayo kutoka kwao siioni ata ikideteriorate soon.Zipo mkuu,
![]()
Buy Xiaomi Redmi Power Bank 10000 mAh 22.5W | Nidadanish Tanzania
Shop Xiaomi Redmi Power Bank 10000 mAh 22.5W in Tanzania from NidaDanish | Redmi Powerbanks in Tanzania | Xiaomi Brand in TZ | Shop Powerbanks in Tanzaniawww.nidadanish.com
Xiaomi Power Banks in Tanzania for sale ▷ Prices on Jiji.co.tz
Try FREE online classifieds Jiji.co.tz today! ❤ Need buy or sell Xiaomi Power Banks in Tanzania? ▷ More than 8 best deals ✓ Price starts from ➔ TSh 45,000jiji.co.tz
Kuna jamaa wanajiita highlife Upana tulikuwa zamani tunachukua kwake, sijui kama bado anazo unaweza Mcheki fb, bei zake zimechangamka ila uhakika ni genuine.
Hao Nida ama wapi?Hawa jamaa wana powerbank nzuri sana nnayo moja ya 25W ya Samsung one year nayo kutoka kwao siioni ata ikideteriorate soon.
Mkuu, Ina maana hii power station inachajiwa kwenye umeme na Ina uwezo wa kubadilisha umeme wa DC kuwa AC kama Inverter..?Hizi ni power station, zipo nyingi sana nje na nyengine bei reasonable sema kusafirisha battery ni issue sana,
View attachment 2908991
Za 300Wh kuanzia 300,000+ unapata zikiwa huko nje, za Kichina unapata chini ya hapo
Bila shakaMkuu, Ina maana hii power station inachajiwa kwenye umeme na Ina uwezo wa kubadilisha umeme wa DC kuwa AC kama Inverter..?
Kariakoo naweza kuipata hii..?Bila shaka
Ndio inachajiwa kama umeme na ni both AC na DC ndio maana unaona ina output tofauti tofauti. Usb inatoa DC mwisho volt kama 12 suitable kwa vifaa vidogo simu na laptop, hizo socket za kawaida ni AC 230V ila mwisho ni 750W, ina maana vitu kama pasi ni issue. Hapa naongelea kwa hizi ndogo, zipo kubwa zenye uwezo zaidi ya huu.Mkuu, Ina maana hii power station inachajiwa kwenye umeme na Ina uwezo wa kubadilisha umeme wa DC kuwa AC kama Inverter..?