Wapi Wanauza Power bank za uhakika?

Wapi Wanauza Power bank za uhakika?

Zipo mkuu,



Kuna jamaa wanajiita highlife Upana tulikuwa zamani tunachukua kwake, sijui kama bado anazo unaweza Mcheki fb, bei zake zimechangamka ila uhakika ni genuine.
Hawa jamaa wana powerbank nzuri sana nnayo moja ya 25W ya Samsung one year nayo kutoka kwao siioni ata ikideteriorate soon.
 
Hizi ni power station, zipo nyingi sana nje na nyengine bei reasonable sema kusafirisha battery ni issue sana,

View attachment 2908991

Za 300Wh kuanzia 300,000+ unapata zikiwa huko nje, za Kichina unapata chini ya hapo
Mkuu, Ina maana hii power station inachajiwa kwenye umeme na Ina uwezo wa kubadilisha umeme wa DC kuwa AC kama Inverter..?
 
Mkuu, Ina maana hii power station inachajiwa kwenye umeme na Ina uwezo wa kubadilisha umeme wa DC kuwa AC kama Inverter..?
Ndio inachajiwa kama umeme na ni both AC na DC ndio maana unaona ina output tofauti tofauti. Usb inatoa DC mwisho volt kama 12 suitable kwa vifaa vidogo simu na laptop, hizo socket za kawaida ni AC 230V ila mwisho ni 750W, ina maana vitu kama pasi ni issue. Hapa naongelea kwa hizi ndogo, zipo kubwa zenye uwezo zaidi ya huu.
 
Back
Top Bottom