INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
Hizo Ni ngebe mkuu[emoji4]Minajua Mercedes-Benz ni chuma ya mjerumani...[emoji4]
Spare Original za Europe Car nenda Posta, nyuma ya soko la Kisutu,Morogoro Road, mtaa wa Libya na India...
Spare za gari zote za ulaya zipo, na gari za kizamani spare za Peugeot 504,Land Rover 109, Nissan DatsunMtaa nimeusoma pale naonaga sana kama wanauza sana spares za Range nknk, kesho nitapita
Spare za gari zote za ulaya zipo, na gari za kizamani spare za Peugeot 504,Land Rover 109, Nissan Datsun
Spare za gari zote za ulaya zipo, na gari za kizamani spare za Peugeot 504,Land Rover 109, Nissan Datsun
Wanaitwa Auto Rover pale mtaa wa LibyaSpare za gari zote za ulaya zipo, na gari za kizamani spare za Peugeot 504,Land Rover 109, Nissan Datsun
Kwa ajili ya gari la IRYN au MAMA JANET [emoji848]?Ndugu habari zenu,
Kwa wale mnaotumia Marcedes Benz mnanunulia spares wapi? Kwa hapa mjini Dar. Naombeni msaada kwa duka ambalo nitaweza kupata spares OG zenye ubora nahitaji kufanya service ya miguu nknk.
Nenda DT Dobie utapata, hata ukitaka spares za gari zima. Wana spare za Suzuki, Mercedes Benz, Nissan na Jeep.Ndugu habari zenu,
Kwa wale mnaotumia Marcedes Benz mnanunulia spares wapi? Kwa hapa mjini Dar. Naombeni msaada kwa duka ambalo nitaweza kupata spares OG zenye ubora nahitaji kufanya service ya miguu nknk.
Dah nilikuwaga na b class yangu ilizngua miguu ya nyuma na abs ilikuwa inawaka aise kidogo nilie jamaa sh 10 hatoi nikaenda masaki kuna waturuki nao wana uza kama unaenda macho ndo nkakuta bei mbaya zaid nkarud tu kwa kanjbai.Spare Original za Europe Car nenda Posta, nyuma ya soko la Kisutu,Morogoro Road, mtaa wa Libya na India.
Kuna maduka ya wahindi na wasomali wakongwe, ila usishangae ukamkuta dukani unauliza bei anataja huku anaendelea kula tambuu akisema hakuna discount hatoi hata senti. Kama spare anayo yeye utazunguka kote kisha utarudi kwake
Kwa ajili ya gari la IRYN au MAMA JANET [emoji848]?
Pia Mitaa hiyo kama alivyosema mtanguliaji karibu na soko la kisutu na Hotel ya Chef Pride kuna duka linaitwa Tuff spares na duka lingine lipo kama unaenda kule duka la Tronics Morogoro road , linaitwa Morogoro Store pia wana vipuri vya magari ya ulaya, BMW, Benz,Audi, Range Rover na kadhalika
Kwa bei jipange zingine unaweza shangaa kama hauna uzoefu na gari za ulaya wana bei juu mno
Na kuna jingine kama unaenda Mikocheni mbele ya ofisi ya Zantel pale kabla ya kufika shoppers pia kuna duka nafikiri linaitwa Jerry spares ,
Pia Sinza/kijitonyama karibu na mabatini police station kuna viduka mbele hapo kwa mambo ya vitu vidogo vidogo kama filters na oils na mambo ya shows wanauza unaweza pata
Mie toka nijue bei za huku zipo juu nikiona hapa kama ntatoa pesa nyingi kwa baadhi ya spares nina ka channel ka Uturuki, najiagizia spares zangu nafunga na chombo ipo barabarani . Niliwahi kujichanganya nikapeleka pale Noble motors nilikoma
Shida ya gari za ulaya ni spares zake na mafundi tu kwa huku kwetu lkn mie haunitoi huko kwenye European Cars kamwe