Wapi wanauza Spares original za Mercedes?

Dah nilikuwaga na b class yangu ilizngua miguu ya nyuma na abs ilikuwa inawaka aise kidogo nilie jamaa sh 10 hatoi nikaenda masaki kuna waturuki nao wana uza kama unaenda macho ndo nkakuta bei mbaya zaid nkarud tu kwa kanjbai.

Nilivyotoka hapo nlikaa nayo tu week nkaipiga bei mpaka hapo hata unaletee benz kwa 1m ntakuangalia na kukimbia mita 100
😂😂😂 Kanjibahi akitaja bei hapunguzi, kuna spear wanajua wanazo wao tu. Utazunguka mwisho utarudi utamkuta anakula tambuu na kubeli
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kanjibahi akitaja bei hapunguzi, kuna spear wanajua wanazo wao tu. Utazunguka mwisho utarudi utamkuta anakula tambuu na kubeli

Hawa jamaa wanadharau sana [emoji23][emoji23], ukishakuwa Monopoly wa bidhaa fulani wateja watakuja wenyewe[emoji23].

JF bigup sana kuna watu humu ndani ni mafundi, juzi kati hapa Premio yangu ilikuwa inasumbua AC kuna watu walinielekeza na Imepona[emoji1544][emoji1544]
 
Pia Mitaa hiyo kama alivyosema mtanguliaji karibu na soko la kisutu na Hotel ya Chef Pride kuna duka linaitwa Tuff spares na duka lingine lipo kama unaenda kule duka la Tronics Morogoro road , linaitwa Morogoro Store pia wana vipuri vya magari ya ulaya, BMW, Benz,Audi, Range Rover na kadhalika

Kwa bei jipange zingine unaweza shangaa kama hauna uzoefu na gari za ulaya wana bei juu mno
Na kuna jingine kama unaenda Mikocheni mbele ya ofisi ya Zantel pale kabla ya kufika shoppers pia kuna duka nafikiri linaitwa Jerry spares ,
Pia Sinza/kijitonyama karibu na mabatini police station kuna viduka mbele hapo kwa mambo ya vitu vidogo vidogo kama filters na oils na mambo ya shows wanauza unaweza pata

Mie toka nijue bei za huku zipo juu nikiona hapa kama ntatoa pesa nyingi kwa baadhi ya spares nina ka channel ka Uturuki, najiagizia spares zangu nafunga na chombo ipo barabarani . Niliwahi kujichanganya nikapeleka pale Noble motors nilikoma

Shida ya gari za ulaya ni spares zake na mafundi tu kwa huku kwetu lkn mie haunitoi huko kwenye European Cars kamwe

Na Subaru mkuu unaweza nipa chimbo?
 
Pongezi Kwa Chama Cha Mapinduzi
 
Spare Original za Europe Car nenda Posta, nyuma ya soko la Kisutu,Morogoro Road, mtaa wa Libya na India.

Kuna maduka ya wahindi na wasomali wakongwe, ila usishangae ukamkuta dukani unauliza bei anataja huku anaendelea kula tambuu akisema hakuna discount hatoi hata senti. Kama spare anayo yeye utazunguka kote kisha utarudi kwake
Yes mtaa Libya......kila kituuu
 
Back
Top Bottom