Wapi wanauza vitanda

Wapi wanauza vitanda

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,183
Reaction score
1,322
Wana JF , ni wapi kuna maduka hapa DSM wanauza vitanda special na magodoro yake . Achana na wale marafiki zetu wa mitaaani wanao chonga vitanda unamfuata leo anakwambia hajamaliza kutengeneza
 
Nenda Furniture Centre, au nenda Keko huko au nenda Nyerere road kuna ofisi nyingi tu za Furnitures.
 
Screenshot_20241224-115657~2.png

Picha inaongea.
 
Back
Top Bottom