Mikocheni jirani na kwa nyerere,Msasani pale maeneo ya macho mbele kidogo kama unaenda masaki kushoto.Mwenge njia ya kwenda Sinza mori, Hapa kwenye mabucha mengi ya nyama,nyuma yake kuna njia ya kuelekea kwa wasusi na hoteli moja nimesahau jina, Kulia mwa barabara kuna duka la vitu hivyo pia.