Wapi wanawezesha mtaji wa vijana wanaotaka kufanya Biashara?

Regent

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2020
Posts
2,306
Reaction score
3,569
Wapi unaweza pata usaidizi wa mtaji just kwa kuwasilisha unachotaka kukifanya?

Nazungumzia 40,000 mpaka 70,000 maana ndio pesa nayoweza kukopa.

Nina mradi wangu unahitaji pesa.
 
Tafuta wenzio kuanzia wanne mwende Council ulipo na mtapewa mkuu.
 
Wapi unaweza pata usaidizi wa mtaji just kwa kuwasilisha unachotaka kukifanya?

Nazungumzia 40,000 mpaka 70,000 maana ndio pesa nayoweza kukopa.

Nina mradi wangu unahitaji pesa.
Weka maelezo ya kina
 
Back
Top Bottom