Bata Boy Official
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 259
- 309
Wakuu mwaka jana sjui juziii(sikumbuki vizuri) watu wa Heineken waliweka big screen pale kigamboni kuonyesha fainali ya UEFA Champions League.
Vipi mwaka huu hakuna sehemu watakayoweka big screen? Maana experience yake huwa ni nzuri saaaana, kuna muda kutokana na mashabiki wengi unahisi kama upo uwanjani kabisa.
Kwa anayefahamu sehemu watakayoonyesha kwenye big screen plzzz tujulishe (maana kuna wengi pia watajua kupitia huu uzi).
Shukurani.
By the way Ufaransa anashindaaaa.