Bata Boy Official
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 259
- 309
Sjamaanisha Projector wala tv ya inch 50/60 namaanisha BIG SCREEEN zile ambazo ni kubwa kuliko hata billboardsNenda vibanda umiza vyenye Projector mkuu
Huzijui Projector wewe inawezekana anyway keep looking unachokitafutaSjamaanisha Projector wala tv ya inch 50/60 namaanisha BIG SCREEEN zile ambazo ni kubwa kuliko hata billboards
We si ulisema za vibanda umiza?Huzijui Projector wewe inawezekana anyway keep looking unachokitafuta
Em fuatilia vizuri utujulishe mkuuNaskia ni maeneo ya kunduchi apo mzee kuna mwamba nlimskia anasema wataweka
Duuh yaan Tz sijui tuna nini yaan unauliza kitu fulani unajibiwa mambo tofauti!!! Wakati kujibu sio lazimaKuna Hali ya hatari ebu kaa kwako nunua Konyagi kubwa uangalizie mpira kwako