Wapi wazee wa mti safi -Umbwe Sec school

Wapi wazee wa mti safi -Umbwe Sec school

IGWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
9,578
Reaction score
7,774
Tukumbushane machache wazee wa umbwe sec.school a.k.a mti safi,

Napenda kujua wapi teacher mallya,lollo,msele,maridadi,.....naomba tujuzane wazee wa fongo

.............Gonna are the dayz we loved each other,i miss them dayz
 
umenikumbusha mbali sana na kale ka wimbo 'umbwe ni mti safi wa matunda mema' na longolongo zingine.

hila mi nakumbuka fujo tu za watu ' masaweee nantombe masawee' na mdomo wa jamaa mmoja kwa jina la 'wete kiwara' akianza na atheee jamani mwenzetu anaitaji msaada Haki ya Mungu. We ulikuwa mwaka gani pale?

we ulikuwa mwaka gani pale?
 
2000 through 2002
 
hapo mi nilikuwa nishapotea longi anywayz still nice.

i hope by then bado kulikuwa na makundi ya wazee wa mbege hiyo ni tradition pale.
 
hapo mi nilikuwa nishapotea longi anywayz still nice.

i hope by then bado kulikuwa na makundi ya wazee wa mbege hiyo ni tradition pale.
YAP!.....nA MIMI MMOJA WAO
 
Rindi kati pale kuna mbege tamu ajabu, debe la Machame na Zoo (Kibosho Girls) na Lobilo (Kichaka)
kuvuna mahindi kule Machine Tools; pariki, kuberi na No. 1 siku za debe
fongo na katizi pale Umbwe town (katikati ya dorm 2&3)
maputo dorm 9 kule juu
 
Back
Top Bottom