Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Duh.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh.....
Jamani huyu mwanamuziki yupo wapi kwa sasa, jamaa alikuwa na sauti nzuri sana enzi zake akiimba sambamba na Banza Stone pale TOT Plus.
Mwenye taarifa alipo hivi sasa atujuze...
Waziri sonyo yupo tanga anafanya mziki bado ni kiongozi wa bendi flani inapiga pale nyumbani hotel tanga!anazidi kunenepeana mpaka anakuwa wa duara
Hivi Toto Tundu yupo wapi naye?
Na utunzi wake ulikuwa sio wa kitoto.Daaah alikua ana sauti nzuri mnoo
kuna kipindi alikuwa moshi na kikundi cha wacheza sarakasi wakawa wanapita kwenye mashule mbalimbali kutoa burudaniHivi Toto Tundu yupo wapi naye?
Seriously?RIp.Waziri sanyo