Wadau wa elimu SALAMA ? Sina haja ya kuvilinganisha hivyo vyuo hata kidogo, lakini pana mwanafunzi wa Diploma accntng, anauliza, tunajua wazi kuwa kila kimoja chaweza kuwa bingwa kwenye nyanja fulani kuzidi vingine, Je kwa hivyo vyuo tajwa hapo ni wapi wazuri zaidi hasa kwa taaluma ya uhasibu ? ? ? tusingependa malumbano tafadhali
Hahahahaaaa! Aise, Tanzania yangu. No wonder watanzania tuko masikini kwa kukosa maarifa pamoja na rasimali kibao tulizo nazo.
Sijui tutatoka kwenye ukoloni wa kifikra lini?
Hahahahaaaa! Aise, Tanzania yangu. No wonder watanzania tuko masikini kwa kukosa maarifa pamoja na rasimali kibao tulizo nazo.
Sijui tutatoka kwenye ukoloni wa kifikra lini?