WAPI ZAIDI KATI YA ST AUGUST UNIV, TUMAINI UNIV na ST JOHN UNIV for accounting degree

WAPI ZAIDI KATI YA ST AUGUST UNIV, TUMAINI UNIV na ST JOHN UNIV for accounting degree

moghaka

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
252
Reaction score
143
Wadau wa elimu SALAMA ? Sina haja ya kuvilinganisha hivyo vyuo hata kidogo, lakini pana mwanafunzi wa Diploma accntng, anauliza, tunajua wazi kuwa kila kimoja chaweza kuwa bingwa kwenye nyanja fulani kuzidi vingine, Je kwa hivyo vyuo tajwa hapo ni wapi wazuri zaidi hasa kwa taaluma ya uhasibu ? ? ? tusingependa malumbano tafadhali
 
VYOTE VIBOVU NJOO MUCCoBS KUNA MAPROFESA NA MADOKTA WA ACCOUNT

umeulizwa kati ya hivyo vyuo vitatu kipi zaidi....wewe unaleta majibuyako mwenyewe/hapo umeenda chaka kaka maana hata swali uliloulizwa hujajibu#
 
Umekosa vyuo vya maana vya kwenda au?
 
issue ni wanafunzi wanaochukuliwa na hivyo vyuo ila mengine sijaona tofaut labda majengo
 
VYOTE VIBOVU NJOO MUCCoBS KUNA MAPROFESA NA MADOKTA WA ACCOUNT

Hahahahaaaa! Aise, Tanzania yangu. No wonder watanzania tuko masikini kwa kukosa maarifa pamoja na rasimali kibao tulizo nazo.
Sijui tutatoka kwenye ukoloni wa kifikra lini?
 
Back
Top Bottom