Naungana na wewe, check hawana yard Tanzania, ILA wanatangaza magari ya yard mbalimbali. Ukitaka kuamini fatilia kununua gari lililokwisha lipiwa ushuru, wauzaji ni wengi. Ni kama vile mtandao wa kaymu, hauna duka Bali unatangaza bidhaa za maduka mbali mbali. Labda kwa Kenya, maana wakati Fulani nilitaka kulipia gari wanayoandika ready to be imported nikajibiwa aidha nilipe Kenya au Japan, nikawambia mbona taratibu zenu za manunuzi "buying safe tips" mnatwambia tusitume pesa overseas, mtaniambiaje nitume Kenya au japan, wakanijibu haya magari yako japan, Kenya ni kama utataka ulipie check, japan unatuma kwetu moja kwa moja.
hivyo aliyejitambulisha hapo juu kama check Nina mashaka nae, ndo maana hata picha kaweka za magari ya watu zilizopigwa majumbani sehemu mbalimbali, yard gani ina gari lishasajiliwa na kila gari liko mazingira tofauti? Tafakariiiiiiii!!!!!