Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kwenye kujua zilipo Ofisi au warehouse ya kuuza magari (used cars) za cheki.co.tz. Wanatangaza kwa Kiswahili Katika website Yao lakini hawajaweka contact details wala mahali walipo.
Tupo Victoria, GEPF house ghorofa ya nne, pia waweza tupata kupitia 0689 548 000, info@cheki.co.tz. Karibu sana
Ninazo za kutosha na bei poa kabisa angalia hzi baadhi tu call 0718849462
Naomba kwenye kujua zilipo Ofisi au warehouse ya kuuza magari (used cars) za cheki.co.tz. Wanatangaza kwa Kiswahili Katika website Yao lakini hawajaweka contact details wala mahali walipo.