Nauliza wapi zinauzwa mashine hizi za kumwagilia dawa za kuua wadudu kwenye mimea kama vile mikorosho, zinatumia mafuta zinaitwa mist duster-power sprayer, hubebwa mgongoni na hutumia petrol ili kusukuma maji/dawa kwa nguvu hadi kufikia umbali mrefu bila shida.