Wapi zinauzwa Rubber stamp making machine?

Wapi zinauzwa Rubber stamp making machine?

pedagogue

Member
Joined
Mar 27, 2017
Posts
17
Reaction score
43
Habari zenu waungwana...

Naomba kuelekezwa mahali zinapouzwa mashine za kutengeneza mihuri, hapa Tanzania, vizuri zaidi kama ipo hapa hapa Dar es Salaam.

Nawasilisha.

a4-fl-a3fl-stamp-making-machine-250x250.png

Mfano wa hizi mashine
 
Back
Top Bottom