Wapiga chabo maarufu shuleni tulitumia mbinu hizi

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
exam-cheating.jpg

Hiki ni kilikuwa kinaitwa Chama Cha Chabo Tanzania(CCCT)

Sisi wapiga CHABO tulikuwa hatupati "A" wala "B" na tulikuwa hatuna shida nazo aisee..

Sisi tulikuwa tunatafuta "C" tu hahahah

Tulikuwa tunazumu hadi nukta.

students-cheating-cheat-sheet-test-34669166.jpg

Kama kuna somo ulilifaulu kwa kupiga chabo either form 4 au form 6 na hata chuo hebu tunaomba ushuhuda aisee..

Cheating.jpg

Wanawake wa CHUO mungu anawaona

how-to-cheat-on-exams.jpg

UME+JAMB+EXAM+CHEATING.jpg

cheating_on_tests.jpg

Watu walikuwa na skills aisee katika hii fani na wengine hadi degree wakapata

Is-Cheating-On-A-Test-or-on-School-Work-A-Sin.jpg

shutterstock_155266082-copy.png

Wale wenzangu wa Physics wanakumbuka haya mapicha picha

cheating_112811200.jpeg

2-23-caught-cheating-in-exam.jpg

Kila muda mbinu huwa tulikuwa tunabadilisha

three_armed_man_cheating_on_a_test.jpg

Ila kuna muda tulikuwa tunadakwa

Cheating.jpg

CHABO SIO HARAMU ILA UKIKAMATWA NI HARAMU
194461894-funny_way_to_prevent_cheating_in_exam.jpg

CC:

-NECTA
-NACTE
-TCU
-TAHOSSA
-EZERB
 
Nilivyokua grade 7 tulikua tunafanya joint examination ya shule kama 6 hv!

Basi bwana tulikua tunakaa wawilix2 kila dawati, ningepangiwa na bongee la mkaka (sijui alikua MEMKWA yule)

Tukawa tunapiga paper la Kiingereza bwana, mie hapo nipo zangu faster kinoma dakika km 30 hv nshamaliza kujaza (si unajua mambo ya multiple choice)

Sasa nilivyomaliza nikaona aibu kuwa wa kwanza kukusanya, nikawa nimekaa tuu pale kwenye dawati! Kama ilivyo ada macho hayana pazia yaakanza kuchungulia kwa yule mkaka sijui mbaba maana mkubwa haswaa!

Hamadi, majibu yangu na yake tofauti, hee nikasema hapa naenda kukosa jaman huyu mkaka mkubwa haiwezekani nikawa na akili kumzidi! (Hahaha si unajua kuishi kwingi ni kujua mengi?)

Ikabidi nikate majibu yangu, sikosei kuanzia swali la 1 hadi la10!! Then nikakopi yake

Sasa utaratibu wa joint examination ni kuwa after marking walikua wanafanya correction hapohapo!

Lahaulaa, nakuta paper la English nimekosa swali la 1-10 kuangalia masahihisho yale majibu yangu yote niliyoyakata ndo yalikua SAHIHI!

Daah, nilimind nikatamani nimtafute yule jamaa nimwambie kasababisha nimefeli[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Basi toka sikj hiyo mpaka namaliza chuo sijawahi kukopi wala kuingia na mlungula, maana hili tukio lilinihabarisha kuwa AKILI YANGU INA AKILI SANA KULIKO KWINGINE!
 
Hahahaha ukaona hapa sasa nimeua kukaa na Gentleman
 
MIMI KIUKWELI SIJAWAH KUIAMINI CHABO KWA SABABU NIKIINGIA KWENYE PAPER WENGNE HAWANA CHA KUANDIKA WAKAT MI NATIRIRIKA. CHABO HUPOTEZA MUDA, NA UKIJIZOESHA CHABO UNAKUWA BOGAZI ZAIDI NA HUJIAMINI.
 
Huyo aliyejichora kwenye kidole bila shaka hiyo ni differential calculus ya trigonometry
 
Kumbe hii thread inawahusu wa Form 4,6 na wanachuo...

Mimi la 7B nadhani hainihusu..

Na log off!! [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom