Wapiga debe 30 wakamatwa stendi ya Magufuli

Wapiga debe 30 wakamatwa stendi ya Magufuli

Hawa wapiga debe kuna wakati wanaweza kuvuta mizigo mpaka wakachana .ni kero tupu.unaweza kupanda gari usilotarajia.

waende wakalime,tanzania ni kubwa,mapori ni mengi,wapewe elimu,vitendea kazi n.k
Hili suala liwe endelevu sio nguvu ya soda,lazima kama nchi tuwe na sera nzuri za kuwakwamua wananchi hasa vijana ili baadae tusiwe na taifa la watu tegemezi.
 
Nilijiuliza kama Stand ya nyabugogo Rwanda haina hao wasumbufu isipokua kampuni inakua na watu wake official wa kupokea abiria, lakini pia Roadport stand ya zimbabwe sikuona usumbufu huo iweje Tanzania? Tena jiji la Dar sasa imekua kila sehemu maturubai na karatasi za bluu kua ni wamachinga yaani tuvibanda kila sehemu! Unajiuliza machinga anauza laki hadi tano au nne kwa siku? Nchi imegeuka kua local hadi tunatia aibu
Kuna vile vibanda vya barabara ya kuelekea ferry karibu na wizara ya ardhi!ule ni uchafu
 
Ni upumbavu wa hali ya juu, mtu ametoka Mbagala, Kivule, Bunju, Kigamboni anajua anakokwenda na usafiri atakaotumia halafu wao wanamdaka ati kumwelekeza lilipo gari la kusafiri nalo, kama ni kupotea kwanini hakupotea huko alikotoka aje apotee stand wakati tiketi anayo?
hiv si wanaendaga kuganjiwa na wenye mabas kwa vichwa atavyoleta.aisee hio vita yake sio ndogo.kuwaondoa haitawezekana
 
Hivi wakati ujenzi unakamilika,hawakuandaa utaratibu wa namna mambo yatakavyoendeshwa humo ndani?

Viongozi wetu nao ni jipu kubwa sanaaa,why tunafanya mambo ovyoovyoo,kwamba hakuna wakutoa maelekezo?

Ndio maana tunaonekana Watanzania ni watu wa kulalamika na tusio na ustaarabu.
 
hiv si wanaendaga kuganjiwa na wenye mabas kwa vichwa atavyoleta.aisee hio vita yake sio ndogo.kuwaondoa haitawezekana
Hapa sasa kipimo cha kupata wateja itabakia ubora wa bus maana kuna mabus pale yamekaa kama magobole
 
Nilijiuliza kama Stand ya nyabugogo Rwanda haina hao wasumbufu isipokua kampuni inakua na watu wake official wa kupokea abiria, lakini pia Roadport stand ya zimbabwe sikuona usumbufu huo iweje Tanzania? Tena jiji la Dar sasa imekua kila sehemu maturubai na karatasi za bluu kua ni wamachinga yaani tuvibanda kila sehemu! Unajiuliza machinga anauza laki hadi tano au nne kwa siku? Nchi imegeuka kua local hadi tunatia aibu
Wamewaingiza wamachinga ngoja tuone wakatavyo haribu kituo hicho

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hiyo stendi wakishawaruhusu wauza pipi, biskuti, maji watembeze humo ndani stendi itaharibikaaa

Ova
Nimeshangaa sana unajenga stand ya B50 then unaruhusu wauza karanga, miwa, mayai wafanye uchuuzi wao.....!!!??
huo ni uchafu....
 
Stendi bado haijakamika vizuri ila ikikamilika vyema had mwezi wa tano huko hutoona wapiga debe wala wachuuzi
 
Wasumbufu sana wale.

Wakishakula mabange yao mtaburuzana kuanzia getini mpaka ndani ya siti.

Hawaambiliki.
 
Back
Top Bottom