Wapiga Debe, Stendi ya BODA BODA Ndani ya UDSM Main Campus!!

Wapiga Debe, Stendi ya BODA BODA Ndani ya UDSM Main Campus!!

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Wadau kwa bahati nimetembelea vyuo vikuu kadhaa duniani but sijawahi kuona chuo chenye kukosa utaratibu kama pale UDSM fikiria ati kumeanzishwa Stendi kadhaa za Pikipiki a.k.a Bodaboda ndani ya Chuo na wapiga debe wa daladala wanapiga kelele kama vile wapo stendi ya Ubungo . nifahamuvyo mimi Chuo kikuu ni sehemu ya kuheshimika na inahitaji utulivu wa hali ya juu maana Wahadhiri na wanafunzi wanhitaji utulivu kwa ajili ya kujifunza, kufanya utafiti na shughuli nyingine za kijamii, nikawa najiuliza Uongozi wa UDSM wameliona hili ama wanasubiri mpaka madhara yake? . Jifunzeni kwa jirani zenu (Mlimani City, Japo sio Chuo kikuu) hawaruhusu kuweka Stendi ndani, Mukandala umelala bado? au ndo unajiandaa kustaaafu baba? maana natambua unafikisha miaka 60 mwaka huu 2013 but nimjuavyo Mkulu Jei Kei atakuongezea mpaka angalau 2016 usihofu.
 
Nikisema Stendi kuanzishwa simaanishi zimeanzishwa na Chuo wenyewe but ni Bodaboda wenyewe wamejiamulia tu kusimama popote ili mradi wajiokotee abiria.
 
Acha uzembe wa kufikiri, hao wasomi si ndo wateja? Boda boda ni wafanyabiashara wanaofata wateja sasa kama wasomi wenyewe hawaoni karaha basi hakuna tatizo pia kumbuka DKT NDUGULILE NA DOCTA MTARAJIWA LOWASSA walisema ni sehemu ya Ajira
 
Songoro hebu jaribu kufikiria kwa kutumia Akili japo hata mara 1 mtoa mada ameonyesha wasi wasi wake kwa kuona UDSM inakuwa/inajaa wapigadebe vituoni na kuwa na stendi ya boda boda kila eneo na hoja yake ni kuwa ni kama Uongozi haupo makini kiviile, hoja yako kuwa eti wateja ni wasomi hao hao hakuhalalishi matendo haya kwa mfano wasomi ni wateja wakubwa wa Machangudoa wa CORNER BAR/ AMBIANCE so wakija kuranda randa mitaa ya UDSM je nao uongozi uwaache? Ninahisi hata hujui maana ya kuwa na utulivu chuo kikuu Nahisi uliishia level za ZOOM POLYTECHNIC COLLEGE. sorry
 
so kama boda boda wanafuata wateja popote mbona pale Mlimani City hazipaki ndani ya Mlimani City?
 
Wadau kwa bahati nimetembelea vyuo vikuu kadhaa duniani but sijawahi kuona chuo chenye kukosa utaratibu kama pale UDSM fikiria ati kumeanzishwa Stendi kadhaa za Pikipiki a.k.a Bodaboda ndani ya Chuo na wapiga debe wa daladala wanapiga kelele kama vile wapo stendi ya Ubungo . nifahamuvyo mimi Chuo kikuu ni sehemu ya kuheshimika na inahitaji utulivu wa hali ya juu maana Wahadhiri na wanafunzi wanhitaji utulivu kwa ajili ya kujifunza, kufanya utafiti na shughuli nyingine za kijamii, nikawa najiuliza Uongozi wa UDSM wameliona hili ama wanasubiri mpaka madhara yake? . Jifunzeni kwa jirani zenu (Mlimani City, Japo sio Chuo kikuu) hawaruhusu kuweka Stendi ndani, Mukandala umelala bado? au ndo unajiandaa kustaaafu baba? maana natambua unafikisha miaka 60 mwaka huu 2013 but nimjuavyo Mkulu Jei Kei atakuongezea mpaka angalau 2016 usihofu.

wap hapo? I'm here but never have i seen it!
 
jamaa nathubutu kukuita mbea na muongo, umeona wapiga debe eneo gani pale chuoni. kuanzia kituo cha maji, utawala, bondeni, cafeteria, udasa na ardhi hebu ntajie kituo walau kimoja chenye mpiga debe..
 
kama ujui kitu ulizia na si kukurupuka na kuweka uzi umu dala dala hazipaki utawala wala kwenye kumbi za mihadhara wala library au science theatre BALI zinapaki bara barani tena kwenye vituo maalum na kwa upande boda boda hamna kwaio usipende kukurupuka kuandika tu na ujue kua MLIMANI CITY ni sehemu ya chuo kikuu cha dsm umekurupuka NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK na pia msemo huu wakufaa ''THE DIFFERENCE BETWEEN THE STUPIDITY AND GENEUS IS THAT GENEUS HAS IT IS LIMITS''
 
mtoa mada jipange upya, usiwe kama wabunge wa Dar es Salaam walivyotafsiriwa na Mr. Masaburi
 
Acheni ubishi, boda boda zipo kontena mnabisha??! Mbona mnatetea vitu vya wazi kabisa?
 
Wadau kwa bahati nimetembelea vyuo vikuu kadhaa duniani but sijawahi kuona chuo chenye kukosa utaratibu kama pale UDSM fikiria ati kumeanzishwa Stendi kadhaa za Pikipiki a.k.a Bodaboda ndani ya Chuo na wapiga debe wa daladala wanapiga kelele kama vile wapo stendi ya Ubungo . nifahamuvyo mimi Chuo kikuu ni sehemu ya kuheshimika na inahitaji utulivu wa hali ya juu maana Wahadhiri na wanafunzi wanhitaji utulivu kwa ajili ya kujifunza, kufanya utafiti na shughuli nyingine za kijamii, nikawa najiuliza Uongozi wa UDSM wameliona hili ama wanasubiri mpaka madhara yake? . Jifunzeni kwa jirani zenu (Mlimani City, Japo sio Chuo kikuu) hawaruhusu kuweka Stendi ndani, Mukandala umelala bado? au ndo unajiandaa kustaaafu baba? maana natambua unafikisha miaka 60 mwaka huu 2013 but nimjuavyo Mkulu Jei Kei atakuongezea mpaka angalau 2016 usihofu.

Are you adicted to criminology!¿¿¿¿¿¡¡¡
 
jamaa nathubutu kukuita mbea na muongo, umeona wapiga debe eneo gani pale chuoni. kuanzia kituo cha maji, utawala, bondeni, cafeteria, udasa na ardhi hebu ntajie kituo walau kimoja chenye mpiga debe..
Sure hata mi sijaona wapiga debe ila pikipiki zipo pale kituo cha utawala na jinsi walivyo sidhani kama wanaleta kelele labda kwa usalama
 
Mbona SUA hujaorodhesha au hujawahi tembelea? SUA kuna stand ya HIACE pia BODABODA,tena wa SUA wasumbufu kuliko wa UDSM
 
Sure hata mi sijaona wapiga debe ila pikipiki zipo pale kituo cha utawala na jinsi walivyo sidhani kama wanaleta kelele labda kwa usalama

Yes bro! Ila huyu jamaa ana uhakika gani kuwa bodaboda hawana vibali pale sijui kamuhoji nani akaambiwa kuwa wale bodaboda wamejiamulia wenyewe kukaa kwenye vile vituo.
 
Kweli kama unavyosema jamaa ni mvivu wa kufikiri
mbona pale udsm kuna utaratibu mzuri chuo kina ekari 1600 hata hyo mlimani city ipo ndani ya eneo la udsm chuo hiki kina barabara ambazo zina root 2 root ya ubungo-chuo-mwenge na ubungo changanyikeni na hakuna namna yoyote ya kuhamisha hzi njia walichokifanya udsm wameweka mageti 2 na kila geti kuna auxiliary police ambao wanausika na ukaguzi na usalama
na haya magari na bodaboda yamekuwa yakiwasaidia sana wanafunzi hasa kipindi kile unaenda savery kuangalia mech ya primear lazima tu uchukue bodaboda

kuhusu utulivu magari hayaathiri chochote chuo kinawanafunzi zaidi ya elfu 18 kwahyo ule wingi wao tu usumbufu ticher anapofundisha analazimika kvtumia microfoni hukuwengine wamesimama na wengine wanachukua notce kupitia dirishani
ila library ya pale inautulivu wa kutosha kuweza kujisomea
 
mkuuuu unashindwa kuelewa kitu kimoja mlimani city hakuna barabara inayopita mle ndani ila ukitoka pale nje bodaboda zipo bhanaaa wewe vp? kama una lingine sema1 ila issue ya usafiri iache unadhani utaweza kutembea kwa miguu kutoka yombo au hall 6 hadi ubungo nyakati za usiku? ni lazima upande boda boda ili uwe salama kwa kiasi fulani
 
Nimegundua humu kuna watoto wa First Year wengi na wale wanaosoma Chuo Cha Maji ndo maana hata hawajadili hoja bali kutukana tu, zaidi hata "EXPOSURE" ni ndogo sana hawajawahi kufika chuo za Zaid ya UDSM bakini na ubishi wenu nitawabana mkija kwenye Interview na kiingereza chenu cha kuunga unga na msio jua kujenga hoja zaidi ya kujua majina ya wachezaji wa ligi za ulaya!!! kwa style hii ya kutokujibu hoja tutaendelea kuwaajiri wakenya mpaka serikalini. nyie mbaki kwenda kuangalia mechi za English Premier League hapo Survey.
 
Back
Top Bottom