Wapiga "gambe" na juisi wepi wanafaidi.

Wapiga "gambe" na juisi wepi wanafaidi.

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,611
Reaction score
5,009
Ushuhuda wako ni upi juu ya gambe na juisi.


Gambe tamu,bapa kubwa moja ukakazia na redbul afu uwe na show wanasema huwa ni balaa.
 
Juice ni tamu sana, na huongeza vitamins kwa mwili
 
Back
Top Bottom