itakua ni makosa makubwa sana ya kujitakia kuchagua kiongozi wa kupinga bajeti za maendeleo πWakuu,
Tuache kujidanganya kuwa kuchagua viongozi ambao sio wanaotokana na chama chenye kuunda serikali ni kupoteza muda .
Hivi hawa wa vyama mmbadala wanayo miundo mbinu ipi ya kuzidi chama kilichoko madarakani?
Nawaombeni watanzania wote wenye akili timamu kuendelea kutoa support kwa chama chetu cha CCM kwa uchaguzi huu serikali za mitaa ili hawa jamaa zetu waendelee kujifunza toka kwetu.
Kazi iendelee
Aisee......kwa lipi ?Wakuu,

Nisawa na kusema msivichague vyama vya upinzani havina serikaliWakuu,
Tuache kujidanganya kuwa kuchagua viongozi ambao sio wanaotokana na chama chenye kuunda serikali ni kupoteza muda .
Hivi hawa wa vyama mmbadala wanayo miundo mbinu ipi ya kuzidi chama kilichoko madarakani?
Nawaombeni watanzania wote wenye akili timamu kuendelea kutoa support kwa chama chetu cha CCM kwa uchaguzi huu serikali za mitaa ili hawa jamaa zetu waendelee kujifunza toka kwetu.
Kazi iendelee
Basi wee jamaa,mbuzi akawa analia hivi,meeee meeee eeeh,ndani ya gunia!itakua ni makosa makubwa sana ya kujitakia kuchagua kiongozi wa kupinga bajeti za maendeleo π
na actually ni uhaini wa maendeleo yako mwenyewe kuchagua upinzani πBasi wee jamaa,mbuzi akawa analia hivi,meeee meeee eeeh,ndani ya gunia!
Eti chawa hukaa kwenye uchafu?na actually ni uhaini wa maendeleo yako mwenyewe kuchagua upinzani π
hebu jaribu kufikiria,Eti chawa hukaa kwenye uchafu?