Pre GE2025 Wapiga kura, hakikisheni mnapiga kura kwa serikali iliyopo, viongozi mbadala hawana rasilimali za kutekeleza wanayoyaahidi

Pre GE2025 Wapiga kura, hakikisheni mnapiga kura kwa serikali iliyopo, viongozi mbadala hawana rasilimali za kutekeleza wanayoyaahidi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Wakuu,

Tuache kujidanganya kuwa kuchagua viongozi ambao sio wanaotokana na chama chenye kuunda serikali ni kupoteza muda.

Hivi hawa wa vyama mbadala wanayo miundo mbinu ipi ya kuzidi chama kilichoko madarakani?

Nawaombeni watanzania wote wenye akili timamu kuendelea kutoa support kwa chama chetu cha CCM kwa uchaguzi huu serikali za mitaa ili hawa jamaa zetu waendelee kujifunza toka kwetu.

Kazi iendelee
 
Kila kitu unachokiona tanzania kimetokana na utawala wa ccm,

Miaka zaid ya hamsini ya uhuru hiji kubwa kama dar bado kuna changamoto ya barabara ,
Maika hamsini ya uhuru bado hatuna uhakika wa umeme,

Hakuna hata sekta moja ya selikali ambayo haina changamoto,

Leo hii tumeshondwa kudhibiti waizi huu wa mtandaoni na ukiibiwa pesa ili polic nao wapeleleze nao wanataka pesa kamq hauna pesa hawafuatiliii sasa hapo wanalea wezi ,

Kuna haja ya kufanya mabadiliko,

Ilia watanzania waamini hata tusioihalalisha bangi tinaweza kutoboa,

Tuna madinI,

Tuna mashamba,

Tuna misitu yq mbao,
Tuna gesi,
Tuna hifadhi,
Tuna bandali,

Leo hii anatokea mtu anasema bangi itatuongeza pato la taifa na kututoa hapq tulipo .sio kweli, tunahitaji mabadiliko
 
Wakuu,
Tuache kujidanganya kuwa kuchagua viongozi ambao sio wanaotokana na chama chenye kuunda serikali ni kupoteza muda .
Hivi hawa wa vyama mmbadala wanayo miundo mbinu ipi ya kuzidi chama kilichoko madarakani?

Nawaombeni watanzania wote wenye akili timamu kuendelea kutoa support kwa chama chetu cha CCM kwa uchaguzi huu serikali za mitaa ili hawa jamaa zetu waendelee kujifunza toka kwetu.

Kazi iendelee
itakua ni makosa makubwa sana ya kujitakia kuchagua kiongozi wa kupinga bajeti za maendeleo 🐒
 
Wakuu,
Tuache kujidanganya kuwa kuchagua viongozi ambao sio wanaotokana na chama chenye kuunda serikali ni kupoteza muda .
Hivi hawa wa vyama mmbadala wanayo miundo mbinu ipi ya kuzidi chama kilichoko madarakani?

Nawaombeni watanzania wote wenye akili timamu kuendelea kutoa support kwa chama chetu cha CCM kwa uchaguzi huu serikali za mitaa ili hawa jamaa zetu waendelee kujifunza toka kwetu.

Kazi iendelee
Aisee......kwa lipi ?
 
Nisawa na kusema msivichague vyama vya upinzani havina serikali

Swali fikirishi kwanini kuna uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu

Baada ya kujibu hilo fafanua maana ya serikali na nikwanini huwa kuna chaguzi hizo
 
Naona aibu mimi.

Hii nchi ina watu wa hovyo sana wasioelimika wasioijua kesho yao, wasiojua thamani ya maisha yao.

Wasiojua nini chakuongea wapi na wapi.

CHAMA SI SHIDA SHIDA NI SISI WANANCHI TULIO NA MAWAZO MUFILISI
 
Kama we ni mwanaume umeandika huu uozo namuonea huruma mkeo anaongozwa na zuzu.
 
Eti chawa hukaa kwenye uchafu?
hebu jaribu kufikiria,
unamchagua mtu ambae hana uwezo, hakubaliki na wananchi, hana sera wala mipango ya maendeleo ya kimkakati na kimageuzi..

analalamika tu mwanzo mwisho 🤣
 
Back
Top Bottom