Hivi hujisikii aibu, warudishe wamasai kwao, rudisheni bandari zetu, maisha yanekuwa magumu hakuna ajira, fedha yetu imeshuka thamani sana, dollar hakuna kwenye bank na bureau de change, turudishieni waliopotea au tuonyesheni makaburi yao, fedha zikizopotea (CAG) aidha zirudishwe au waliokula wafungwe. Mlifanya hayo tutawaamini nje ya hapo hata mtoto wa kambo anaweza kuwa RaisWakuu,
Tuache kujidanganya kuwa kuchagua viongozi ambao sio wanaotokana na chama chenye kuunda serikali ni kupoteza muda.
Hivi hawa wa vyama mmbadala wanayo miundo mbinu ipi ya kuzidi chama kilichoko madarakani?
Nawaombeni watanzania wote wenye akili timamu kuendelea kutoa support kwa chama chetu cha CCM kwa uchaguzi huu serikali za mitaa ili hawa jamaa zetu waendelee kujifunza toka kwetu.
Kazi iendelee