Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Nakumbuka sana hili suala tumelijadili sana hapa JF.Mkuu unaamini wapiga kura ni 29m+? Hiyo idadi ni ya kupika ili kutengeneza ushindi fake kwa ccm. Tuhakikishe tu mawakala wanatunza rekodi vizuri kisha uone kwenye majumuisho. Kuna idadi kubwa ya wapiga kura hewa na lengo ni kusaka % inayotafutwa na Magufuli ya 85%+. Tunza hii post uone uhuni utakaofanyika siku ya kura na wakati wa kuhesabu kura.
Mkuu inavyooneka hata kama ungepewa wewe mwenyewe usimamie uchaguzi huu nchi nzima bado husingeamini matokeo. Kwa hiyo, lazima mtafute sababu za kuficha aibu baada ya tarehe 28/10/2020. Na posti hii ya kwako ni moja ya mipango hiyo!Mkuu unaamini wapiga kura ni 29m+? Hiyo idadi ni ya kupika ....Tuhakikishe tu mawakala wanatunza rekodi vizuri kisha uone kwenye majumuisho. Kuna idadi kubwa ya wapiga kura hewa na lengo ni kusaka % inayotafutwa na Magufuli ya 85%+. Tunza hii post uone uhuni utakaofanyika siku ya kura na wakati wa kuhesabu kura.
Usipoishi kwa kuhoji kila kitu utaishia kuimba maendeleo kujenga madaraja yasiyosaidia kuondoa mafuriko ya maji.Mkuu inavyooneka hata kama ungepewa wewe mwenyewe usimamie uchaguzi huu nchi nzima bado husingeamini matokeo. Kwa hiyo, lazima mtafute sababu za kuficha aibu baada ya tarehe 28/10/2020. Na posti hii ya kwako ni moja ya mipango hiyo!
Mkuu, kiukweli kabisa baadhi yetu humu ama kwingine, wanatumia vibaya "nafasi ya kuhoji kila kitu"!Usipoishi kwa kuhoji kila kitu utaishia kuimba maendeleo kujenga madaraja yasiyosaidia kuondoa mafuriko ya maji
Mkuu sina chembe ya shaka na nisemacho. Kwanza sina tatizo la kushindwa kihalali maana kwenye ushindani kuna kushinda na kushindwa. Usitake kunibadilishia maelezo yangu na kuwa ni lazima upande wangu ushinde.Mkuu inavyooneka hata kama ungepewa wewe mwenyewe usimamie uchaguzi huu nchi nzima bado husingeamini matokeo. Kwa hiyo, lazima mtafute sababu za kuficha aibu baada ya tarehe 28/10/2020. Na posti hii ya kwako ni moja ya mipango hiyo!
Ndugu yangu ngoja pia nikukumbushe kitu. CCM wamebiresha orodha ya wanachama wao waminifu kwa mfumo mpya wa kidigitali. 2015 walikuwa na wanachama milioni8. 2020 CCM inawanachama waminifu zaidi ya milioni 14.Wapiga kura kwa mwaka 2015 walikuwa 23,161,440 na mwaka 2020 ni 29,804,992 Hivyo mshindi wa uchaguzi mwaka huu ataamriwa na hawa wapiga kura wapya takribani milioni sita na nusu..
Kama wewe umeamua kukabidhi akili yako kwa watu wengine wakusaidie kufikiri, sio lazima watu wote wawe kama wewe.Mkuu, kiukweli kabisa baadhi yetu humu ama kwingine, wanatumia vibaya "nafasi ya kuhoji kila kitu"!
Wanyonge 28/10/20202 asubui mapema kabisa, tutakwenda na Rais wa wawanyonge JPM. Magufuri mi 5 tena.Tarehe 28.10 Sikh ya wanyonge kunyonga
Ndugu yangu ngoja pia nikukumbushe kitu. CCM wamebiresha orodha ya wanachama wao waminifu kwa mfumo mpya wa kidigitali. 2015 walikuwa na wanachama milioni8. 2020 CCM inawanachama waminifu zaidi ya milioni 14. Kwahesabu rahisi ni kwamba katika wapiga kura ambao ni zaidi ya milioni 29 wanaccm tayali wanawapiga kura milioni 14. Sasa unaweza kuona ushindi wa kimbunga utakavyopatikana kwa JPM. Ndiomana leo kama uliona mheshimiwa Jakaya mwenyekiti mstahafu alimhakikishia ushindi mkubwa JPM. Unaweza kubishana na data kama na wewe utaleta data zako full stop.
Toa ushahidi kuwa ccm ilishinda kwa kura 2.8mMwaka 2015 CCM waliishinda Chadema kwa kura 2.8M tu! inamaana hapo ngoma ni ngumu sana. Wale watumishi wa umma ambao miaka yote hupigia kijani na njano safari hii hata hawaeleweki wapo upande gani...
Mkuu unaamini wapiga kura ni 29m+? Hiyo idadi ni ya kupika ili kutengeneza ushindi fake kwa ccm. Tuhakikishe tu mawakala wanatunza rekodi vizuri kisha uone kwenye majumuisho. Kuna idadi kubwa ya wapiga kura hewa na lengo ni kusaka % inayotafutwa na Magufuli ya 85%+. Tunza hii post uone uhuni utakaofanyika siku ya kura na wakati wa kuhesabu kura.
Ndugu yangu wewe unamahaba kwahiyo huwezi kukubaliana na ukweli. Unaweza kusibitisha benki gani inatoa mikopo kwa kadi CCM? Pia je unataka kuwadanganya watu kuwa nchi hii huwezi kuwa mfanyabiasha au kuajiliwa mpaka uwe na kadi ya CCM.Ccm inaweza kuwa imeuza kadi hata 20m acha hiyo milioni 14. Lakini ccm haina uwezekano wa kuwa na wanachama wanaokaribia 5m wenye mapenzi ya dhati. Watu wananunua kadi za ccm kwa ajili ya kupata upendeleo wa kimfumo kama mikopo, kufanya biashara nk, na kwa kuwa kadi hiyo inauzwa chini ya shilingi 1,000 hakuna anayeona tabu kuinunua...