Uchaguzi 2020 Wapiga kura wapya takribani Milioni sita na nusu (6.5M) kuamua mshindi wa Urais mwaka huu 2020

Uchaguzi 2020 Wapiga kura wapya takribani Milioni sita na nusu (6.5M) kuamua mshindi wa Urais mwaka huu 2020

Ukumbuke mwaka 2015 CCM ulikuwa na wapiga kura milio 8. Lakini sasa wameongezeka kufikia milioni 14. Sasa angalizo inawezekana hao milioni 6 waliongezeka ni kwasababu ya kupata hamasa ya maendeleo ya miaka5. Tumeshuhudia ongezeko kubwa la wanaccm kwenye uchaguzi wa ndani ya chama, tusubiri 28/10/2020 kwenye box la kura. Tuache ramri...za kisiasa.
Tangulia hospitali kuu mirembe Dodoma, watu wanalia na maisha magumu alafu nyie MATAGA na MATOKEO chanya akina mkandamizaji mnaofaidika kwa kuiuzia serikali mcheke wenu wa mbarali mnaona sawa tu, wajinga kweli na hamna huruma huku mkijipambanua kuwa wazalendo.
 
Mkuu Residentura, unatak kutuambia hizo namba peke yake ni dalili za wizi wa kura na inawezekana ndio hao |hewa sio ?, kwa sababu nami nakumbuka mwaka 2015 wapiga kura walikuwa mor or less ya 14 million, sina hakika sana na figure tunapoambiwa leo ni zaidi ya 25million ni lazima ilete mashaka, na ccm kuendelea kuingia madarakani kwa wizi wa kura sijui itaisha lini ??,
SASA BASI
1603184933788.png
 
Exactly, hapo tayari kuna "ghost votes" milioni 3.8 hivi.
Wataziingizaje vituoni,hapo ndio CHADEMA wanatakiwa wapafanyie kazi.
 
Ndugu yangu wewe unahitaji kupewa siri ya vyama vya siasa. Kwataarifa yako Magufuri angeweza kukaa Ikulu na kuomba kura kwa kupitia television tu ushindi uko palepale. Ila wanachofanya sasaivi ni kuongeza aslimia zaidi za kura za Raisi na Wabunge Ruzuku ya chama iongezeke na chama kizidi kuwa na uwezo wa kifedha zaidi. Yani CCM unahitaji ushindi wa asilimia zaidi ya 85.
Na sio maendeleo ya watu. Ahsante kwa taarifa.
 
Exactly, hapo tayari kuna "ghost votes" milioni 3.8 hivi.
Wataziingizaje vituoni,hapo ndio CHADEMA wanatakiwa wapafanyie kazi.
Itafika hatua tutatumia njia nyingine kuwaondoa ccm madarakani, ikibidi hata kuwapiga, maana wametuchosha saana na wanaonekana wanataka kung'ang'ania madarakani, alisema Pinda wapigwe tu hamna namna, maana wamekubuhu kwa wizi wa kura hawa mbwa.
 
Back
Top Bottom