Selestine sikinde mbunga
Mkuu hivi unajua rekodi ya thiery Henry uropa na uingereza?na timu ya taifa?weka facts Acha unazi
Sikinde hakua goal poacher ni wings telezaSelestine sikinde mbunga
Robert pires,ronardo,messi,zlatan ibra,neymar.
Nashangaa hamumfahamu Jurgen Klinsmann au soka mlikuwa bado hamjalikua. Kalusha Bwalya, Teophil Abega
Romario faria na ronaldo de lima nao ni waviziaji?kumbe!!Elewa thread anataka utaje wachezaji ambao unawaona wanashangilia goal tu hawana mbwembwe nyingi ni kufunga tu kama Inzaghi au Chicharito ungekua mtihan Mngefeli wengi
Romario faria na ronaldo de lima nao ni waviziaji?kumbe!!
Robert pires,ronardo,messi,zlatan ibra,neymar.