Wapiga Mabao - Goal Poachers

Wapiga Mabao - Goal Poachers

Didier Drogba.. Goran Pandev.. Diego Milito.. Ronaldo de Lima.. Emanuel Gabriel "Mwakyusa"... Trezeguet.. Van Nestrooy... Raul " Magori" Madrid... Jimmy Ford Hasseblaink... Zamoyoni Mogela "Golden Boy"... asee na dingi yangu yumo ktk hii listi.
 
Andry Shevchenko
Jean Pierre Papin
Emilio Butragueno
Juergen Klinsmann
Dennis Bergkamp
Mohamed Salim
Idelfonce Amlima
Mohamed al Khatib
Zbignew Boniek
Davor Suker
Allan Shearer
George Weah
Rashid Yekini
Roger Milla
Samuel E'too
Yousof Fofana
Hugo Sanchez
 
Castian janker
edmond the animal
bebeto
careca
Paolo rossi
hassan sassi
hassan sahalmadizc
madundo mtambo
wilbaforce mulamba
Kevin mutale
Godfrey ulca chitalu, huyu wa zambia walikata rufaa kuwa alifunga magoli mengi kuliko messi
 
watu humu wanafki ndio kusema hamumjui Chogo hata kama mmemsahau sio kihivyo

thierry_henry_fc_barcelona_761155.jpg
 
Mkuu hivi unajua rekodi ya thiery Henry uropa na uingereza?na timu ya taifa?weka facts Acha unazi
 
Huu Uzi nilidhan ni wa goal poachers aka waviziaji lakin naona wanatajwa had watu ambao wanafunga kwa ku piga hata chenga kuanzia nje ya 18!huwezi kuwaweka De Lima ,Van Basten,Samata,Kizota,Dinho,Rivaldo,Ulimwengu,TH14 na mafundi wengine kwenye Orodha yenye Raul,Van Nist,Emma Mwakyusa,Mogela,Jadel na waviziaji wengine
 
Mkuu hivi unajua rekodi ya thiery Henry uropa na uingereza?na timu ya taifa?weka facts Acha unazi

Elewa thread anataka utaje wachezaji ambao unawaona wanashangilia goal tu hawana mbwembwe nyingi ni kufunga tu kama Inzaghi au Chicharito ungekua mtihan Mngefeli wengi
 
Elewa thread anataka utaje wachezaji ambao unawaona wanashangilia goal tu hawana mbwembwe nyingi ni kufunga tu kama Inzaghi au Chicharito ungekua mtihan Mngefeli wengi
Romario faria na ronaldo de lima nao ni waviziaji?kumbe!!
 
Robert pires,ronardo,messi,zlatan ibra,neymar.

Messi ni mshereheshaji zaidi! Mara nyingi amesherehesha na timu yake ikaondoka uwanjani kichwa chini! Tukubali soka sampuli hiyo limepitwa na wakati na hata brazil wameamua kuachana nalo.
 
Back
Top Bottom