Wapiga picha bwana... mnatupiga picha za nini kama hatutazipata?

Wapiga picha bwana... mnatupiga picha za nini kama hatutazipata?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Unaenda zako kwenye wedding, summit, graduation au event yoyote. Umekaa zako mezani sometimes hata hightable kbs ghafla cameraman anakuja...Boss unatabasamu kidogo...Anakupiga picha moja... mbili... kumi... hadi zaidi ya 50. Ukiona hivyo unajua leo boss umedebedesha.

Lakini event ikiisha ndiyo basi tena. Hamkubadilishana namba, hamkupeana Instagram, wala whatsaap walahu aje ku share googledrive. Hata mkibadilishana contacts ukimwambia kaka naomba picha anaanza kukuzungusha kama unamdai hela maringo mengiiiii..

Kama hutaki tufanye networking hutaki kunitumia picha zangu ulikuwa unanipiga picha za nini? mara mia unipe masharti hata ya kukutag kukumention account zako upate credit kuliko kukaa na picha utazipeleka wapi zaidi ya kuzitupia tu kwenye disc huko..

macamera man na sisi tunataka documention jamani kama mnatupiga picha bure tuna jitolea na nyie mtupe picha zetu bure si mshalipwa huko kwa kazi.
 
Nachojua kwenye harusi huwa wanapiga randomly kisha wanazisafisha na kukaa nazo getini, ukihitaji unalipia.

Kimsingi huwa siyo bure.
 
Unaenda zako kwenye wedding, summit, graduation au event yoyote. Umekaa zako mezani sometimes hata hightable kbs ghafla cameraman anakuja...Boss unatabasamu kidogo...Anakupiga picha moja... mbili... kumi... hadi zaidi ya 50. Ukiona hivyo unajua leo boss umedebedesha.

Lakini event ikiisha ndiyo basi tena. Hamkubadilishana namba, hamkupeana Instagram, wala whatsaap walahu aje ku share googledrive. Hata mkibadilishana contacts ukimwambia kaka naomba picha anaanza kukuzungusha kama unamdai hela maringo mengiiiii..Kama hutaki tufanye networking hutaki kunitumia picha zangu ulikuwa unanipiga picha za nini?mara mia unipe masharti hata ya kukutag kukumention account zako upate credit kuliko kukaa na picha utazipeleka wapi zaidi ya kuzitupia tu kwenye disc huko..macamera man na sisi tunataka documention jamani kama mnatupiga picha bure tuna jitolea na nyie mtupe picha zetu bure si mshalipwa huko kwa kazi.
Hao wanaitwa "BANYAMULENGE" na wameanza zamani sana hizo MBISHE za kupiga picha kisha wanaziweka nje ili ununue.
 
hapana king kong kuna cameraman anakupiga halafu hakwambii chochote
 
Back
Top Bottom