Wapiga Vichwa wakali kuwahi kutokea katika soka

Mbon mnamsahau drogba
 
Nyumbani kumenoga Samatta ni balaa ktk 20 bora ya wapiga vichwa hakosi
 
2006 worldcup game na Argentina walipigiana pasi za vichwa. Ogopa sana huyu jamaa.
Assist ya kichwa goli la kichwa wat a move that was. Sikumbuki vizuri aliyempa pasi ile lakini?? Podolski au Muller?

Sasa kuna mtu alikuwa anaitwa Carsten Junker ! W.cup 2002 alikuwa anasaidiana na marco bode, klose pale mbele . Jamaa hatari sana kwa vichwa
 
Kwa wachezaji wa karibuni niliowaona oliver bierhoff ndio namba moja kwa vichwa. Na statistics nyingi zinaegemea upande wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…