Yeah huyu alikua hbr nyingne, bila kumsahau patric kluivet na mecelo salas ambae world cup 1998 alikua na goli nne zote za vichwa.Kwa wachezaji wa karibuni niliowaona oliver bierhoff ndio namba moja kwa vichwa. Na statistics nyingi zinaegemea upande wake.
hii list haijakamilika kama hakuna jina la Hernan Jorge Crespo
List yangu ni kama ifuatavyo;
1. Patrick Kluivert
2. Steve Bruce
3. Sergio Ramos
4. Cristiano Ronaldo
5. Nemanja Vidic
6. Pippo Inzaghi
Sijapanga kwa namba. Ila mimi mara nyingi huwa nawapa credit sana mabeki hasa wa kati pindi wanapoenda kupiga vichwa kutokana na mipira ya kona au adhabu ndogo.
Ila kwa washambuliaji huyi Kluivert hana mfano wake.
TekeloAbeid Mziba
Wahenga wenzangu watanikubali.
Abeid MzibaKwenye soka kumekua na wachezaji wenye vipaji vya kila aina ila kwenye suala la kufunga kwa kupiga vichwa ni wachache sana wapo.
Je unaweza kutupa list yako ya wachezaji watatu bora katika upigaji vichwa uliyowahi kuwashuhudia toka uanza kutazama soka.
Yangu mimi ni hii
1. Cristiano Ronaldo (ulimwengu unajua 🐐🐐Anaruka juu kama bombadier ya magufuli. Kichwa bora zaidi ni kile alichowapiga Mantud kwenye uefa champions league Evra alibaki haelewi afanye nn)
2. Edin Dzeko ( statistics says it all huyu jamaa kipindi akiwa wolfsburg aliweza kufunga goli zaidi ya kumi kwa msimu mmoja kwa kutumia kichwa tu still hadi leo ukizubaa kwenye boksi mipira ya juu lazma akutie adabu)
3. Fernando Morientes ( mtaalam wa diving header huyu. Wataalamu wanasema alikua anaweza ku curve na kuchop kwa kichwa 🤣🤣)
Je tatu bora yako ni ipi kwa wapiga vichwa??
Hakika list ya mtoa uzi haijakilika ka huyu jamaa (patrick Kruivert) hayumo. Hata ukiambiwa taja mmoja tuu inakubidi utaje huyu mholanzi.List yako haijakamilika bila jina la huyu Mwamba.... Patrick Kluivert......
View attachment 1105502
View attachment 1105503
Number 1 nakubali hawa wengine sijuiList yangu ni kama ifuatavyo;
1. Patrick Kluivert
2. Steve Bruce
3. Sergio Ramos
4. Cristiano Ronaldo
5. Nemanja Vidic
6. Pippo Inzaghi
Sijapanga kwa namba. Ila mimi mara nyingi huwa nawapa credit sana mabeki hasa wa kati pindi wanapoenda kupiga vichwa kutokana na mipira ya kona au adhabu ndogo.
Ila kwa washambuliaji huyi Kluivert hana mfano wake.
Hakika list ya mtoa uzi haijakilika ka huyu jamaa (patrick Kruivert) hayumo. Hata ukiambiwa taja mmoja tuu inakubidi utaje huyu mholanzi.
York magoli yake mengi ni ya miguu sio kichwaI suppose nobody in here ever heard of DWIGHT YORKE.