Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Mtaani kwetu ukiitwa Mtaalam wa Dead Ball ina maanisha wewe wasichana wako ni wale wepesi kuwapata (malaya) sasa hiyo Dead ball labda ile mipira ya kuwekewa kumalizia uwanjani 🙂 🙂 🙂🙂 🙂 🙂 😉😉Dead ball ndio Mpira gani, eti mpira uliokufa umekufaje sasa, nielewesheni.
