Hawa ni Wachezaji Hatari sana waliyowahi kutokea Duniani kwa Upigaji wa Mipira Iliyokufa(dead ball) Haijalishi walikua wanapiga mipira kutokea Kona gani Ila kati ya Mipira 5 lazima minne Itie Kambani.
JUHIHNO PERNAMBUCANO...Huyu alikua kijana wa kibrazili akicheza pale ufaransa klabu ya Olympique Lyonnais alikua hatari sana kwa dead ball.
SHUNKUKE NAKAMURA...Huyu alikua kijana wa Kijapani akikipiga pale Celtic ya Uskochi Makipa walikua wanajua shughuli yake naye alikua hatari sana kwa dead ball.
Hao ndo Mafundi Wangu wataalamu wa kupiga dead ball kuwashuhudia katika soka wakifuatiwa na akina David Berckam,Ronalddihno na hawa akina Messi kwa kizazi cha sasa.
View attachment 489460View attachment 489461