Wapiganaji 100 wa Hamas wakamatwa na IDF

Wapiganaji 100 wa Hamas wakamatwa na IDF

Wapiganaji 100 wa Hamas wamekamatwa Leo na jeshi la Israel IDF. Kwa Sasa wapo Chini ya ulinzi. Haya yanatokea baada ya kuonekana wapiganiji wa Hamas wamo ndani ya Hospitali huko Gaza.

Ndipo walipozungukwa na kuzidiwa mashambulizi na kuamua kussurender. Kwa Sasa wapo sehemu salama wanatoa ushirikiano kwa jeshi la IDF.

Soma Pia: Hamas yadai yawauwa kamanda wa IDF huko Gaza kwe uwanja wa mapambano
================

Israel’s military said it detained 100 suspected Hamas militants in a raid on a hospital in northern Gaza over the weekend. Israel has raided several hospitals in Gaza over the course of the yearlong war, saying Hamas and other militants use them for military purposes. Palestinian medical officials deny those allegations and accuse the military of recklessly endangering civilians. Joining us live this morning to further discuss is Dr. Asaf Romirowsky, Executive Director of Scholars for Peace in the Middle East.

Link hii hapa Chini

View: https://youtu.be/e7CGThVSSoQ?si=-qg-Iaa1hDcGYIK1

Hii ndiyo excuse yao ya kushambulia hospital?.. hakuna anayeiamini israel kwa sasa isipokua mikondoo fulani fulani
 
Tena suspected hamas yani wanaoshukiwa kuwa Hamas.
Unadhani hao wapiganaji wanavaa kijeshi kuweza kuthibitishwa bila kuacha shaka?

Watakapokuwa registered kwenye daftari la wafungwa wa kivita ndiyo watatangazwa rasmi, lakini hskuna raia hapo.
 
Back
Top Bottom