Wapigania Uhuru waliwapotosha Waafrika

Wapigania Uhuru waliwapotosha Waafrika

Kitu Cha kusikitisha hata sisi tunaokoment wengi wetu tukipewa uongozi tunafanya kama wanavyofanya hao tunaowasema.

Tangu tumepata uhuru zaidi ya miaka 60 imepita viongozi wengi wamebadilika lkn utendaji ni uleule.

Wazazi, ndugu na jamaa wanafurahia watoto wao wakilihujumu taifa, unakuta mzazi anajua kabisa mwanae ni afisa Tra na scale ya mshahara inajulikana lkn anapomuona analimbikiza mali hamuulizi bali atakaa maskani ajisifu mwanae yupo tra lkn mzazi huyohuyo anaanza kuponda viongozi wa serikali

Hili ni tatizo kubwa Sana mwizi kuonekana shujaa.
Hii imetokana na wazazi waliofanya Kazi KWA uaminifu na uadilifu na uzalendo Mkubwa Sana serikali ikawatupa jongoo, wakiishi maisha ya mbwa baada ya kustaafu, kumbuka Nyerere hakutaka watu wamiliki mali. Chupa za bia pembeni jamaa anakusanya vizibo kesho unafatiliwa pesa za kunywa umetoa wapi. Uhujumu uchumi unakuhusu, so ikabidi wengi wawe wazinzi wakatumia pesa zao kuhonga, maana ukifanya maendeleo tu unapewa kesi ya uhujumu uchumi. Baada ya wazee kutupwa jongoo, wakiishi KWA dhiki ndio wamewaambia vijana wao wakombe kabisa Ili kesho wasiishi maisha mabovu kama wao, thus vijana wapo radhi kugawana na hakimu Ili kumaliza soo. Pangekuwepo na utaratibu wa kuwajali wastaafu angalau vijana wasingekuwa wezi. Maana madhara ya wezi wote uathirika wakiwemo na wezi wenyewe, maana hizo pesa Sana Sana watakula watoto wao kuanzia wajukuu kuendelea ni msoto tu.
Unapoiba pesa za uma means umeiba kesho ya mjukuu wako.
 
Hawa madikiteta wa Africa ni utopolo hasa, kisa cha Kazungula border bridge kuwa na bend ni kwa sababu Dictator Mugabe hakutaka hili daraja liingie upande wake wa Zimbabwe!!!,Leo Zimbabwe inanufaika na daraja hili kwa kupitishia mizigo yake hapo!,na elewa kukataa kwake kulileta uchelewesho wa ujenzi na gharama kuwa kubwa, hili daraja lingekua straight, pale ilipokua mpaka wa Botswana na zambia wa zamani
Mugabe alikuwa moja ya madikteta bogus kabisa aliitumia vibaya elimu yake kuibomoa nchi yake badala ya kutumia elimu kuijenga nchi yake.Zimbu ya Ian Smith ilikuwa bora zaidi kuliko ya mugabe,mwafrika alikuwa na uhakika wa maisha.
 
Waafrica mmeanza funguka akili make viongozi wenu wamefeli vibaya sana afu lawama mnampelekea mzungu
Hakuna mtawala wa kiafrica anaeweza mletea mwafrika maendeleo,kwao uongozi ni ajira na sio wito.
 
Umepewa mlima wa chuma pembeni umepewa mlima wa makaa ya mawe eti hata la kuyeyusha tu chuma huwezi. Kuwafundisha tu watu wa eneo hilo jinsi ya kutengeneza blust furnace vijana wakatumia makaa ya mawe kuyeyusha chuma wauze viwanda vya nondo, bati, nk wapate ajira eti hatuwezi, mbona blacksmith wahunzi wazee wa zamani wao waliweza zalisha chuma.
Eti zama hizi mtu anaishi kwenye vijumba vya udongo na nyasi utadhani panya, kwann wasifunze watoto mashuleni jinsi ya kutengeneza matofali na vigae vya kuezekea KWA udongo uliopo mwingi eneo husika wajenge nyumba bora, KWA mpangilio bora.
 
Wapigania UHURU waliwadanganya waafrika wawasapoti kuwafurusha wakoloni baada ya wakoloni kuondoka watawala wakageuka kuwa madikteta wakawageukia waafrika wakaanza kuwatesa waafrika.

Unapigania UHURU kuwaondoa Wazungu kisha unaunda makundi ya kigaidi, wasiojulikana na kihalifu (vikosi vya kumlinda Rais) vikulinde dhidi ya wanaotaka kukuondoa kisa utendi haki, kwa kwenda kinyume na matarajio ya wananchi, kwa kuviamuru vikosi vyao vya kigaidi kuteka, kutesa na kuua watu kwa mtindo wasiojulikana Ili kulinda tumbo.

Sasa nini tofauti yako na wakoloni, angalau wakoloni walifanya hayo huku wakiletea watu maendeleo. Thus huwa nasema wapigania UHURU walipigania maslai yao binafsi kwa kuwatumia Waafrika na siyo kupigania maslai ya Waafrika wote; ilikuwa ni kiini macho tu.

Thus baada ya UHURU wao ndio walionufaisha matumbo yao hadi SAsa vizazi vyao huku mamilioni ya waafrika wakitopea kwenye lindi la ufukara. Ukifanya study utagundua angalau mwafrika alikuwa ana nafuu kabla ya UHURU ajira zilikuwapo tele, chakula tele, elimu na afya zilikuwapo tele.

Walipigania UHURU ndio walipotosha waafrika walikuwa na ajenda binafsi za maslai yao wao thus baada ya UHURU wakageuka kuwa wakoloni weusi kwa kuwatendea mabaya waafrika, huku wakipora fedha na kuzificha ulaya.

Wakatumia elimu zao kuzibomoa nchi zao (Mugabe, Kamuzu banda, Savimbi, nk), wakajimilikisha utajiri wa nchi wao binafsi na familia zao ( Moi, Kenyatta, Mobutu, Do santos, nk) hawana historia ya kumiliki mali kabla ya uongozi zaidi ya kuwapora wananchi kupitia madaraka.

Asilimia 90 ya waafrika ni dhoofu hali, angalau kidogo nchi za waarabu zilizopo Afrika na hizi zimesaidiwa na mfumo wa dini ya kiislamu unaowafundisha watawala kutenda haki.

Ukuwahi kusikia gavana au mtawala yeyeto wa kikoloni amewahi fisadi mali ya nchi kwa maslai binafsi kama alivyofanya Zuma, Mobutu, nk kupendelea kwao. Mugabe kujenga makasri ulaya na singapore hali yeye ni mtawala wa kiafrica.

Unafukuza wakoloni kwamba unaweza then unawahitaji tena kwa lugha ya kuwapamba ukiwaita eti wawekezaji, nini SAsa tofauti ya mkoloni na Mwekezaji, angalau mkoloni hakuwaza kuondoka thus alijenga miundombinu mbalimbali nchini iliyo hai hata sasa.

Wakoloni hawakutegemea kodi kuleta maendeleo nchi za Afrika bali walitumia raslimali tele zilizojaa mfano nguvu kazi, madini, maji, ardhi, misitu nk, leo watawala wa kiafrica wameshindwa japo Wana KILA kitu yaani pesa, ardhi, maji, watu, masoko, nk, hawana tofauti na mabus ya mwendokasi wamepewa KILA kitu kuanzia abiria, barabara, magari lakini bado hawawezi.

Naona kama waafrika tumegota kujitawala. Ni rahisi kwa mtawala wa kiafrica kuiba pesa za wananchi akaenda kununua mabus, malori au kudhamini timu ya mpira au kuficha pesa Ulaya. Huku akimuacha mwafrika mwenzake anakufa kwa kukosa panadol, maji, njaa, nk.

Niseme tu watawala wa kiafrica walipigania maslai yao binafsi kwa kuwahadaa waafrika kwa malengo yao binafsi na sio malengo ya jumla, thus ukigusa maslai yao lazima wakuweke kwenye kiroba.
Wapigania uhuru wengi,walikabidhiwa nchi wakiwa hawana ujuzi,uzoefu wa kutawala nchi,sasa walipoonja utamu wa kukaa Ikulu,Waka hapa,hawatatoka,wakapiga marufuku vyama vya Siasa,uhuru wa kujieleza,vyombo vya habari,ikabakia kulamba asali tu,
Hata Hawa waliopo Madarakani sasa hv,hawana majibu na matatizo ya wananchi,kipaumbele Chao ni kubaki Madarakani hata kwa kuua,wanaogopa sana kuuacha utamu wa madaraka,
Dawa pekee ya Hawa watu,maandamsno ya wananchi,kama ilivyotokea kwenye nchi za kiarab.
Samia na genge lake,wanaiibia hii nchi sana,kenge kama Hawa hawapo tayari kutoka Ikulu kwa ridhaa,lazima watolewe,ukweli mchungu lazima damu imwagike
 
Mugabe alikuwa moja ya madikteta bogus kabisa aliitumia vibaya elimu yake kuibomoa nchi yake badala ya kutumia elimu kuijenga nchi yake.Zimbu ya Ian Smith ilikuwa bora zaidi kuliko ya mugabe,mwafrika alikuwa na uhakika wa maisha.
Sasa kikowapi, daraja lilijengwa ingawa kwa gharama kubwa zaidi kisa huyu shwaaini Mugabe
 
Wapigania UHURU waliwadanganya waafrika wawasapoti kuwafurusha wakoloni baada ya wakoloni kuondoka watawala wakageuka kuwa madikteta wakawageukia waafrika wakaanza kuwatesa waafrika.

Unapigania UHURU kuwaondoa Wazungu kisha unaunda makundi ya kigaidi, wasiojulikana na kihalifu (vikosi vya kumlinda Rais) vikulinde dhidi ya wanaotaka kukuondoa kisa utendi haki, kwa kwenda kinyume na matarajio ya wananchi, kwa kuviamuru vikosi vyao vya kigaidi kuteka, kutesa na kuua watu kwa mtindo wasiojulikana Ili kulinda tumbo.

Sasa nini tofauti yako na wakoloni, angalau wakoloni walifanya hayo huku wakiletea watu maendeleo. Thus huwa nasema wapigania UHURU walipigania maslai yao binafsi kwa kuwatumia Waafrika na siyo kupigania maslai ya Waafrika wote; ilikuwa ni kiini macho tu.

Thus baada ya UHURU wao ndio walionufaisha matumbo yao hadi SAsa vizazi vyao huku mamilioni ya waafrika wakitopea kwenye lindi la ufukara. Ukifanya study utagundua angalau mwafrika alikuwa ana nafuu kabla ya UHURU ajira zilikuwapo tele, chakula tele, elimu na afya zilikuwapo tele.

Walipigania UHURU ndio walipotosha waafrika walikuwa na ajenda binafsi za maslai yao wao thus baada ya UHURU wakageuka kuwa wakoloni weusi kwa kuwatendea mabaya waafrika, huku wakipora fedha na kuzificha ulaya.

Wakatumia elimu zao kuzibomoa nchi zao (Mugabe, Kamuzu banda, Savimbi, nk), wakajimilikisha utajiri wa nchi wao binafsi na familia zao ( Moi, Kenyatta, Mobutu, Do santos, nk) hawana historia ya kumiliki mali kabla ya uongozi zaidi ya kuwapora wananchi kupitia madaraka.

Asilimia 90 ya waafrika ni dhoofu hali, angalau kidogo nchi za waarabu zilizopo Afrika na hizi zimesaidiwa na mfumo wa dini ya kiislamu unaowafundisha watawala kutenda haki.

Ukuwahi kusikia gavana au mtawala yeyeto wa kikoloni amewahi fisadi mali ya nchi kwa maslai binafsi kama alivyofanya Zuma, Mobutu, nk kupendelea kwao. Mugabe kujenga makasri ulaya na singapore hali yeye ni mtawala wa kiafrica.

Unafukuza wakoloni kwamba unaweza then unawahitaji tena kwa lugha ya kuwapamba ukiwaita eti wawekezaji, nini SAsa tofauti ya mkoloni na Mwekezaji, angalau mkoloni hakuwaza kuondoka thus alijenga miundombinu mbalimbali nchini iliyo hai hata sasa.

Wakoloni hawakutegemea kodi kuleta maendeleo nchi za Afrika bali walitumia raslimali tele zilizojaa mfano nguvu kazi, madini, maji, ardhi, misitu nk, leo watawala wa kiafrica wameshindwa japo Wana KILA kitu yaani pesa, ardhi, maji, watu, masoko, nk, hawana tofauti na mabus ya mwendokasi wamepewa KILA kitu kuanzia abiria, barabara, magari lakini bado hawawezi.

Naona kama waafrika tumegota kujitawala. Ni rahisi kwa mtawala wa kiafrica kuiba pesa za wananchi akaenda kununua mabus, malori au kudhamini timu ya mpira au kuficha pesa Ulaya. Huku akimuacha mwafrika mwenzake anakufa kwa kukosa panadol, maji, njaa, nk.

Niseme tu watawala wa kiafrica walipigania maslai yao binafsi kwa kuwahadaa waafrika kwa malengo yao binafsi na sio malengo ya jumla, thus ukigusa maslai yao lazima wakuweke kwenye kiroba.
Kutawaliwa kiakili, kimwili na hata kutumikishwa sio lazima uwapate wakoloni.
Hata saa ukiamua kuwa mtumwa njoo tu kwangu , utakula mpaka uvimbiwe, baada ya kunitumikia wewe na mke wako na familia yako kwa masaa 12 tu!
 
Umesahau Hosni Mubarak, yule rais wa Tunisia, Gadaffi, yahya Jameh (Gambia 99% muslims), rais wa Mauritania yote hayo ni miislamu.

Somalia Said Barre wee vipi yote hayo ni miislamu na ina sijda haikosi kuswali mara tano kwa siku.

Eti uislamu kuna haki. Wakati mnachinjana , kuuana na kuchukiana wenyewe kwa wenyewe na mi sijda yenu na huyo mungu wenu mmoja wa kiarabu

Hovyo kabisa
 
Lakini idadi kubwa ya madikteta ni Wakristo hata ukitazama list ya madikteta ya afrika au ya Dunia.
Lakini huwezi linganisha maisha ya hizo nchi za kiislamu za Afrika na hizi nchi zingine za kiafrica, angalau wao Wana nafuu ya maisha ikiwemo huduma za Jamii. Morocco, tunisia, algeria, libya, misri
 
Kutawaliwa kiakili, kimwili na hata kutumikishwa sio lazima uwapate wakoloni.
Hata saa ukiamua kuwa mtumwa njoo tu kwangu , utakula mpaka uvimbiwe, baada ya kunitumikia wewe na mke wako na familia yako kwa masaa 12 tu!
Kwann usiwalishe watz wote hili waone matunda ya UHURU
 
UHURU umeshindwa kabisa kumkomboa mwafrika.
KWA yanayoendelea Afrika ni ushahidi tumeshindwa kabisa kujitawala ni bora tununue management ya kutusimamia kwenye siasa na uchumi pia toka private sector.
 
Wapigania UHURU walipigania maslai yao uthibisho wao ni matajiri na vizazi vyao lakini waafrika wengi ni masikini dhoofu hali wanakufa KWA kukosa panadol ya shilingi mia tano
 
Uhuru Kwa waafrika ni scam! Na hata walioandaa mitaala ya historia ni verified scammers. Mmechelewa sana kuligundua hilo. African History thought in schools is more subjective than being objective.
 
Wapigania UHURU waliwadanganya waafrika wawasapoti kuwafurusha wakoloni baada ya wakoloni kuondoka watawala wakageuka kuwa madikteta wakawageukia waafrika wakaanza kuwatesa waafrika.

Unapigania UHURU kuwaondoa Wazungu kisha unaunda makundi ya kigaidi, wasiojulikana na kihalifu (vikosi vya kumlinda Rais) vikulinde dhidi ya wanaotaka kukuondoa kisa utendi haki, kwa kwenda kinyume na matarajio ya wananchi, kwa kuviamuru vikosi vyao vya kigaidi kuteka, kutesa na kuua watu kwa mtindo wasiojulikana Ili kulinda tumbo.

Sasa nini tofauti yako na wakoloni, angalau wakoloni walifanya hayo huku wakiletea watu maendeleo. Thus huwa nasema wapigania UHURU walipigania maslai yao binafsi kwa kuwatumia Waafrika na siyo kupigania maslai ya Waafrika wote; ilikuwa ni kiini macho tu.

Thus baada ya UHURU wao ndio walionufaisha matumbo yao hadi SAsa vizazi vyao huku mamilioni ya waafrika wakitopea kwenye lindi la ufukara. Ukifanya study utagundua angalau mwafrika alikuwa ana nafuu kabla ya UHURU ajira zilikuwapo tele, chakula tele, elimu na afya zilikuwapo tele.

Walipigania UHURU ndio walipotosha waafrika walikuwa na ajenda binafsi za maslai yao wao thus baada ya UHURU wakageuka kuwa wakoloni weusi kwa kuwatendea mabaya waafrika, huku wakipora fedha na kuzificha ulaya.

Wakatumia elimu zao kuzibomoa nchi zao (Mugabe, Kamuzu banda, Savimbi, nk), wakajimilikisha utajiri wa nchi wao binafsi na familia zao ( Moi, Kenyatta, Mobutu, Do santos, nk) hawana historia ya kumiliki mali kabla ya uongozi zaidi ya kuwapora wananchi kupitia madaraka.

Asilimia 90 ya waafrika ni dhoofu hali, angalau kidogo nchi za waarabu zilizopo Afrika na hizi zimesaidiwa na mfumo wa dini ya kiislamu unaowafundisha watawala kutenda haki.

Ukuwahi kusikia gavana au mtawala yeyeto wa kikoloni amewahi fisadi mali ya nchi kwa maslai binafsi kama alivyofanya Zuma, Mobutu, nk kupendelea kwao. Mugabe kujenga makasri ulaya na singapore hali yeye ni mtawala wa kiafrica.

Unafukuza wakoloni kwamba unaweza then unawahitaji tena kwa lugha ya kuwapamba ukiwaita eti wawekezaji, nini SAsa tofauti ya mkoloni na Mwekezaji, angalau mkoloni hakuwaza kuondoka thus alijenga miundombinu mbalimbali nchini iliyo hai hata sasa.

Wakoloni hawakutegemea kodi kuleta maendeleo nchi za Afrika bali walitumia raslimali tele zilizojaa mfano nguvu kazi, madini, maji, ardhi, misitu nk, leo watawala wa kiafrica wameshindwa japo Wana KILA kitu yaani pesa, ardhi, maji, watu, masoko, nk, hawana tofauti na mabus ya mwendokasi wamepewa KILA kitu kuanzia abiria, barabara, magari lakini bado hawawezi.

Naona kama waafrika tumegota kujitawala. Ni rahisi kwa mtawala wa kiafrica kuiba pesa za wananchi akaenda kununua mabus, malori au kudhamini timu ya mpira au kuficha pesa Ulaya. Huku akimuacha mwafrika mwenzake anakufa kwa kukosa panadol, maji, njaa, nk.

Niseme tu watawala wa kiafrica walipigania maslai yao binafsi kwa kuwahadaa waafrika kwa malengo yao binafsi na sio malengo ya jumla, thus ukigusa maslai yao lazima wakuweke kwenye kiroba.

Hii mada ikifanyiwa uchambuzi wa kina na kufuatilia kiundani zaidi kuna jambo tunaweza kulielewa.

Kuna kitu hapa. Tena chenye uwezo wa kuokoa vizazi vijavyo ama kuvidumaza zaidi.
 
Idadi ya vijana wa kiafrica kuwa na ndoto za kuzamia ulaya maelfu wakibisha hodi ofisi mbalimbali za ubalozi, mamia wakizamia meli,Ili kufuata uhakika wa maisha bora ni uthibisho UHURU umeshindwa kutukomboa, ipo haja ya kutafuta namna nyingine ya kutukomboa kifikra na kiuchumi.
 
Kitu Cha kusikitisha hata sisi tunaokoment wengi wetu tukipewa uongozi tunafanya kama wanavyofanya hao tunaowasema.

Tangu tumepata uhuru zaidi ya miaka 60 imepita viongozi wengi wamebadilika lkn utendaji ni uleule.

Wazazi, ndugu na jamaa wanafurahia watoto wao wakilihujumu taifa, unakuta mzazi anajua kabisa mwanae ni afisa Tra na scale ya mshahara inajulikana lkn anapomuona analimbikiza mali hamuulizi bali atakaa maskani ajisifu mwanae yupo tra lkn mzazi huyohuyo anaanza kuponda viongozi wa serikali

Uko sahihi lakini kumbuka mabadiliko ni jambo linaloendelea masaa ishirini na nne na kila sekunde ya masaa hayo.

Mabadiliko hayasimami wala hayasinzii, yapo kila kukicha na ndio maana hata wewe unakua na kuendelea kubadilika kila kukicha, ki mwili, ki akili na ki fikra pia.

Na kadri ya ukuaji na utambuzi na ufahamu wa mwanaadm unavyoendelea kupanuka ndivyo na mabadiliko hayako mgando.

Leo utaamua unapenda sana nyama ya ng’ombe lakini pia ukipata nafasi ya kufahamu na kutambua sababu za msingi za waopinga ulaji wa nyama, pengine utabadili maamuzi na kuamua kutokula nyama ya ng’ombe kamwe na pengine wewe ukawa balozi mzuri zaidi ukafanya na kampeni ya kutokula nyama yoyote ile na sio ng’ombe tu!

Binafsi ninaamini ya kwamba chochote kile binaadam tukiamua kufanya tunaweza na zaidi uwezo tulioumbwa nao wa kuyapinga mabaya na kuyaangamiza ni mkubwa sana na hauna mfano wake lakini tamaa ya miili yetu na Ujinga tulioukubali kiroho ndio mkwamo wetu.

Imani haijafa, watu wataamka tu wala sio muda mrefu sana.
 
Back
Top Bottom